Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Hv mnataka kusema na wazungu wana waganga wao? Wakina Barick na wengine kote duniani wanachimba kwa nguvu za kiganga?

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Hivi kuna watu wachawi kama wazungu? kuna watu wachawi kama waarabu, wahindi?

Hivi unazijua zile mali za wajerumani *RUPIA* walizo ziacha Tanzania vijana wanaangaika kuzitafuta lakini zimezindikwa kwa matambiko yao huwezi kuzipata kirahisi

Wafanya biashara karibia wote kariakoo wanatumia uganga, karibia wafanya biashara wote dar wanaenda kwa waganga..
 
Hivi wewe ni muhindi?
 
SIjabahatika kufanya kazi na wazungu,ila wahindi na waarabu nimewaona aisee jamaa ni washirikina hatari,wanazika Ng'ombe mzimamzima,enzi hizo k/kko kila duka la muhindi ndani au nje kaweka ndondocha halafu yeye anauza vifungo vya shati,sindano na uzi halafu kila jumapili wanaenda beach kwenye Ma_Mansion yao wamejenga ufukweni,sasa unajiuliza huyo jamaa anauza sindano na uzi k/kko anamiliki eneo beach na mansion juu.
 
Back
Top Bottom