Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Nyumba ya kawaida kma 50m plus vx ya 96 model na rav4 vyote akiuza anapata kma 80m sasa ushirikina kwake umempa nini,mererani walikua wanaloga zamani na migodi yote ya washirikina ilishakufa.imebaki migodi ya kisasa ya waliowekeza miundombinu kwa gharama kubwa
Hivi wakina Sunday, Askofu, na Justine wa triple A wapo kweli na mautajiri yao?

Babangu alikuwa anapenda kuwazungumzia hawa watu hata nilikuwa sielewi kitu ndani....
 
Back
Top Bottom