Jambazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 16,648
- 18,742
Bado sijakuelewa ulipo sema nimewapiga fiksi, sasa nakuambia nitafute nikupeleke ukamwone huyo ndondocha bado unazunguka na story zako ndefu... Nakufungia ndani usiku nazima taa mim naondoka halafu uje uniambie ulicho kiskia humu ndaniMtu kuishi ''nusu ya peponi'' siyo uthibitisho kuwa mafanikio yaweza kuletwa kwa uchawi. Hii inaonyesha kuwa mhusika alizipata fedha zake kwa njia ama halali au haramu-uchawi. Halafu nifafanue zaidi: Kuna watu matajiri ambao wanaamini ni kufanya vitendo vya ushirikina, wengine hata kuua. Lakini SIYO vile vitendo vinavyowaletea mafanikio na wangetajirika bila hata kuvifanya.