Elections 2015 Kutoka Iringa: Kampeni CCM uwanja wa Samora

Elections 2015 Kutoka Iringa: Kampeni CCM uwanja wa Samora

juzi nape akiwa kwenye mkutano izinga alinukuliwa akiwaambia watanzania wasimchague marehemu kwenda ikulu. Hii itasababisha watanzania kupiga Kura ya Hasira ya kuikaa CCM. Nani ajuaye kesho ya m wenzake? ina maana wanaompenda lowasa basi ni matiti Kama yeye lowasa ni marehemu!
 
Nape jana kasema Lowasa alituibia kila alikowekwa, alianza kuiba akiwa mfanyakazi wa chama, akapelekwa AICC Arusha akiiba. Akahamishiwa wizara ya ardhi akajimegea maeneo kibao nchi nzima, akapelekwa wizara ya mifugo akajimilikisha ranchi nyingi za uma. Mwisho akapandishwa cheo na kuwa waziri mkuu, hapa ndio akatumaliza kabisa na Richmond.

Wameshindwa kumshitaki siku zote hizo sasa Nape anatuambia sisi ilitumhukumu. SASA WANANCHI TUMEAMUA KUMFUNGA MIAKA MITANO JELA YA IKULU NA KAZI NGUMU YA KUWATUMIKIA WATANZANIA.
Mkuu hizi ndo sababu zinazo nifanya niwachukie ccm, mtu ana haribu mna mwamisha tu, asinge hama ina mahana asinge shutumiwa. Wizi wa Lowasa siyo tatizo kwa CCM bali tatizo ni kuhama chama.
 
ni sheeeeed..

Taarifa ya 4u movement kuhusu waliozimia tanga


Waliozimia ni watu waliotoka Kilimanjaro, Arusha na Manyara, walikuwa wana UCHOVU wa safari. Maana waliondoka kwao Asubuhi kwa kusombwa na mabasi na wakaingia Tanga mchana bila kupumzika, kula wala kunywa maji wala juice wakapitilizia uwanjaNi. Kwann wasizimie❓❗

Ninawapa pole maana ni watanzaNia wenzangu.

Ila huu mchezo wa kusomba watu kwenye mabasi mikoa mpaka mikoa uishe, watanzaNia wanateseka saNa.

Watu walisombwa kama watumwa toka mikoani kuja Tanga tena bila kula lazimwazimie, mungu awaponye haraka majerui tare 25 wachague hapa kazi tu
 
Hivi Gwajima ashtakiwa kwa kumtusi Askofu nani? Mbona nape anapeta tu majukwaani with impunity,katumwa na nani?
 
juzi nape akiwa kwenye mkutano izinga alinukuliwa akiwaambia watanzania wasimchague marehemu kwenda ikulu. Hii itasababisha watanzania kupiga Kura ya Hasira ya kuikaa CCM. Nani ajuaye kesho ya m wenzake? ina maana wanaompenda lowasa basi ni matiti Kama yeye lowasa ni marehemu!
Mimi nadhani kuna ukweli Fulani.
 
Kuna kitu kimoja CCM wanakosea sana mkutano mzima wanamjadili Lowassa mpaka watu wanazoea, maneno yote wameyasema mwenzao hawajibu, walimwita mgonjwa akabaki kimya, sasa wanamwita marehemu atabaki kimya, baadaye watamwita mzoga, atabaki kimya watu wanajiuliza hii chuki dhidi ya Lowassa inatoka wapi?
 
Mimi nikisikia mtu anamkashifu na kumtukana mtu mwingine mwenye umri sawa na baba yake huwa najua ana matatizo makubwa sana kichwani.
 
Hivi Nape ni mtoto wa nje ya ndoa? Mbona domo lake chafu?
 
Ina maana wewe ni mgeni nchini kwako? Nchi yetu ina vyanzo vya mapato vingi mno shida ni wizi na kutokuwepo na umakini wa usimamizi wa mapato pia misamaha ya kijinga kwa makampuni yanayokuja kuwekeza. Mikataba ya ovyo pia ni shida. Jamani we need Lowassa for change... Lowassa oyeeeeee
 
Haya kama alikwiba. Watanzania tumemsamehe kama Kikwete alivyowasamehe wezi wa EPA. Na sasa tunakwenda kumkabidhi Nchi aiongoze.
Poleni sana CCM.
Anayeendelea kumwita Lowasa mwizi anajichafua mwenyewe. CCM wangeachana na agenda hiyo. Haina mashiko tena kwani wananchi wameshajua ukweli. Wangesema sera zao tu huenda wangelivutia hata kidogo!
 
Naona mwendelezo wa fiesta. Kweli ilikuwa CCM MOVIE
 
Anayeendelea kumwita Lowasa mwizi anajichafua mwenyewe. CCM wangeachana na agenda hiyo. Haina mashiko tena kwani wananchi wameshajua ukweli. Wangesema sera zao tu huenda wangelivutia hata kidogo!

Kama kweli mzee wenu ni mwizi ataendelea kuwa mwizi tu hata akihama chama.


Chagua Magufuli ni mchapa kazi.

 
01.JPG


Ulinzi ukiwa umeimarishwa wakati msafara wa Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli ukitoka kwenye Uwanja wa Samora mjini Iringa baada ya mkutano wa kampeni kumalizika.
 
Back
Top Bottom