jaxborn kasanya
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 299
- 53
Marehemu ni yule waliozika leo Lowasa mbona mzima jamani jana alikuwa tanga na mafuliko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamuite na majuto ili awafanyie utafiti maana mile kikampuni chenu kilichotoa utafiti hewa na kubainika kiongozi wake ni cdm hajawasaidia
Huo ujinga waambie UKIWA wenzako, sisi hatujamsamehe, Ikulu tunataka mtu msafi na muadilifu kwelikweli, hatutaki mgombea mwenye madoa doa na makandokando ya wizi na ufisadi. #HapaKaziTu CHAGUA MAGUFULI.
Ni makosa makubwa na kukosa adabu kwa kijana mdogo kama Nape kumtukana Mhe. lowassa. Umri wa Nape na Lowassa kuna tofauti kubwa na inawezekana Nape akawa kama mtoto wa Mhe. Lowassa. Ni vyema Nape akawaeleza wananchi sera za CCM kuliko kutukana. Nape amekuwa na bifu na Mhe. Lowassa tangu Mhe. Lowassa alipotangaza nia akiwa CCM kugombea nafasi ya Urais. Nawaomba Mhe. Kikwete, Mhe. Kinana, Mhe. Mangula, Mzee Malecela, Mzee Mmwinyi na wengineo mlio na wadhifa kwenye Chama MUMUONYE huyu kijana sasa anaonekana kupita kiasi. Tujiulize Mungu si Athman, kama ikitokea Mhe. Lowassa akawa Rais Nape atakimbilia wapi?. Malipo ni hapa hapa duniani. NAWASILISHA.
Kasemaje tena huyo mtu?
Lowassa ana political tolerance atawasamehe wote na kusema hawajui wafanyalo. Vitabu vitakatifu vinatutaka kusameheana. Hata Makufuli akoshinda atasameha wote hata babu S na Mashehe
Mungu si Athumani kweli ila si kwa Lowassa kuwa RAis no