Mkuu hizi ndo sababu zinazo nifanya niwachukie ccm, mtu ana haribu mna mwamisha tu, asinge hama ina mahana asinge shutumiwa. Wizi wa Lowasa siyo tatizo kwa CCM bali tatizo ni kuhama chama.Nape jana kasema Lowasa alituibia kila alikowekwa, alianza kuiba akiwa mfanyakazi wa chama, akapelekwa AICC Arusha akiiba. Akahamishiwa wizara ya ardhi akajimegea maeneo kibao nchi nzima, akapelekwa wizara ya mifugo akajimilikisha ranchi nyingi za uma. Mwisho akapandishwa cheo na kuwa waziri mkuu, hapa ndio akatumaliza kabisa na Richmond.
Wameshindwa kumshitaki siku zote hizo sasa Nape anatuambia sisi ilitumhukumu. SASA WANANCHI TUMEAMUA KUMFUNGA MIAKA MITANO JELA YA IKULU NA KAZI NGUMU YA KUWATUMIKIA WATANZANIA.
ni sheeeeed..
Mimi nadhani kuna ukweli Fulani.juzi nape akiwa kwenye mkutano izinga alinukuliwa akiwaambia watanzania wasimchague marehemu kwenda ikulu. Hii itasababisha watanzania kupiga Kura ya Hasira ya kuikaa CCM. Nani ajuaye kesho ya m wenzake? ina maana wanaompenda lowasa basi ni matiti Kama yeye lowasa ni marehemu!
ni kweli, anaejadili marehemu anaeongea nae ni marehemu pia,Mimi nadhani kuna ukweli Fulani.
Anayeendelea kumwita Lowasa mwizi anajichafua mwenyewe. CCM wangeachana na agenda hiyo. Haina mashiko tena kwani wananchi wameshajua ukweli. Wangesema sera zao tu huenda wangelivutia hata kidogo!Haya kama alikwiba. Watanzania tumemsamehe kama Kikwete alivyowasamehe wezi wa EPA. Na sasa tunakwenda kumkabidhi Nchi aiongoze.
Poleni sana CCM.
hawa jamaa wajinga sana.yaani kajikita kumponda tuu lowasa anafkiri atatubadilisha.tushachukua maamuzi tayari asubri kunyongwa tuu
Anayeendelea kumwita Lowasa mwizi anajichafua mwenyewe. CCM wangeachana na agenda hiyo. Haina mashiko tena kwani wananchi wameshajua ukweli. Wangesema sera zao tu huenda wangelivutia hata kidogo!