Dawa ya Mjinga
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 382
- 145
Mimi nikisikia mtu anamkashifu na kumtukana mtu mwingine mwenye umri sawa na baba yake huwa najua ana matatizo makubwa sana kichwani.
Atakuwa msimamizi wa gym ya ikulu na bodigadi wa lowasa, watanzania hatuwezi kuchagua B.wege kama hilo eti liwe rais. Never ever
Atakuwa msimamizi wa gym ya ikulu na bodigadi wa lowasa, watanzania hatuwezi kuchagua B.wege kama hilo eti liwe rais. Never ever
Hakuwaletea Barabara na UWANJA akiwa waziri leo anasema akiwa RAIS mh!!!!!!!!!!!!Hongereni kama mnaamini ,maana amesema GAS imepewa MCHINA bure kwa MIAKA saba.
Hahahaha...Mkuu Blac kid hicho cheo kinamfaa Sana na pushup hizo anazopiga ni Maandalizi yake kwa hicho cheo baada ya rais wa awamu ya 5 mh. Edward Ngoyai Lowassa kuapishwa.
Hahahaha hahahahaha........acha utani mkuu....msafara km wa mwenyekiti wa mtaani kwetu. Kweli CCM hakuna mwenye hamu nacho kwa sasa.
Magufuli TOROKA uje UKAWA utapewa uwaziri wa barabara...Huko unajidhalilisha.
Duuh..Pamoja na PUSH_UP zote hizo!!!!!
#PUSH_UP NI KWA MKEO.
Haya kama alikwiba. Watanzania tumemsamehe kama Kikwete alivyowasamehe wezi wa EPA. Na sasa tunakwenda kumkabidhi Nchi aiongoze.
Poleni sana CCM.
Kura yangu ilikuwa kwa Magufuli, lakini kwa hayo matusi ....... siwapi tena na badala yake niko mbioni kusambaza miswaki na dawa [toothpaste]kwa viongozi wa CCM ili wapige mswaki wakiwa jukwaani pfffff midomo yao yanuka shombo tena ya mayai viza.