technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Nauliza tu swali kufa kwa TISS je shida ni wenyewe au CCM?
TISS imebaki kuchongeana tu nani ana miliki Nini? Kuna jamaa yangu yupo chugani wanamfuatilia eti vitu alivyonazo kumbe masikini Hana hivyo vitu Kila siku wanamdhalilisha kapakwa mafutaNauliza tu swali kufa kwa TISS je shida ni wenyewe au CCM?
Naunga mkono hoja.Shida kubwa ya Tanzania ni utamaduni.
Utamaduni una shape namna ya kufikiri na tabia.
Ukiangalia fikra za watanzania na tabia zao kuna shida sana.
Watanzania kwao kila kitu ni rahisi sana, hii dhana ipo mpaka juu kwenye taasisi sensitive na maamuzi ya nchi.
We are not serious people, tazama hata humu JF pitia mada za elimu; utakuta mtu anakwambia kasoma big bang theory physics ya A level. Not knowing hiyo ni cosmology na astrophysics topic a university module kwenye physics major.
Matter of fact big bang utafundishwa intro tu as undergraduate. Kwenda deeper lazima uilewe ‘General Relativity’ theory ambayo inafundishwa at post graduate level vyuo vingi duniani. Wanafunzi wachache sana duniani wenye physics major wanaijua general relativity.
JF unakuta mtu yeye kasoma hiyo A level, we are not serious people and no one questions.
Tanzania inahitaji mtu kama Magufuli someone has to change the social thinking sio ya wote walau ndani ya utumishi na nafasi za uongozi.
Kama nchi bado sana, maendeleo ni culture pia.
Huo ujasiri na uthubutu wa kutuuliza hili swali umetoa wapi? Sasa wacha tukutafute utuulize vizuri usoni.
Ila usalama wa taifa wa bongo .TISS imebaki kuchongeana tu nani ana miliki Nini? Kuna jamaa yangu yupo chugani wanamfuatilia eti vitu alivyonazo kumbe masikini Hana hivyo vitu Kila siku wanamdhalilisha kapakwa mafuta
Ccm,
Ndio ukweli Tanzania kiongozi anaweza toka hadharani na kutuita raia mambumbu kwa kudhani jeshi la marekani ni bora kuliko letu.Naunga mkono hoja.
Magufuli alipima mapapai na Mbuzi kwenye vipimo vya COVID.Shida kubwa ya Tanzania ni utamaduni.
Utamaduni una shape namna ya kufikiri na tabia.
Ukiangalia fikra za watanzania na tabia zao kuna shida sana.
Watanzania kwao kila kitu ni rahisi sana, hii dhana ipo mpaka juu kwenye taasisi sensitive na maamuzi ya nchi.
We are not serious people, tazama hata humu JF pitia mada za elimu; utakuta mtu anakwambia kasoma big bang theory physics ya A level. Not knowing hiyo ni cosmology na astrophysics topic a university module kwenye physics major.
Matter of fact big bang utafundishwa intro tu as undergraduate. Kwenda deeper lazima uilewe ‘General Relativity’ theory ambayo inafundishwa at post graduate level vyuo vingi duniani. Wanafunzi wachache sana duniani wenye physics major wanaijua general relativity.
JF unakuta mtu yeye kasoma hiyo A level, we are not serious people and no one questions.
Tanzania inahitaji mtu kama Magufuli someone has to change the social thinking sio ya wote walau ndani ya utumishi na nafasi za uongozi.
Kama nchi bado sana, maendeleo ni culture pia.
Magufuli alipima mapapai na Mbuzi kwenye vipimo vya COVID.