Eugene Krabs
JF-Expert Member
- Feb 19, 2026
- 451
- 859
Alikuwa na mapungufu yake, issue hapa ili Tanzania ianze safari serious ya kujitegemea; na lazima aje kiongozi wa kupambana culture ya kufanya vitu Tanzania.Magufuli alipima mapapai na Mbuzi kwenye vipimo vya COVID.
Hiyo safari ya kubadili social thinking aikwepeki na sio rahisi wala aijwahi kuwa rahisi popote duniani.
Lazima mtu mmoja aifanye hiyo kazi.