Kutoka JamboTV: Kufa kwa TISS shida ni CCM au TISS yenyewe?

Kutoka JamboTV: Kufa kwa TISS shida ni CCM au TISS yenyewe?

Shida kubwa ya Tanzania ni utamaduni.

Utamaduni una shape namna ya kufikiri na tabia.

Ukiangalia fikra za watanzania na tabia zao kuna shida sana.

Watanzania kwao kila kitu ni rahisi sana, hii dhana ipo mpaka juu kwenye taasisi sensitive na maamuzi ya nchi.

We are not serious people, tazama hata humu JF pitia mada za elimu; utakuta mtu anakwambia kasoma big bang theory physics ya A level. Not knowing hiyo ni cosmology na astrophysics topic a university module kwenye physics major.

Matter of fact big bang utafundishwa intro tu as undergraduate. Kwenda deeper lazima uilewe ‘General Relativity’ theory ambayo inafundishwa at post graduate level vyuo vingi duniani. Wanafunzi wachache sana duniani wenye physics major wanaijua general relativity.

JF unakuta mtu yeye kasoma hiyo A level, we are not serious people and no one questions.

Tanzania inahitaji mtu kama Magufuli someone has to change the social thinking sio ya wote walau ndani ya utumishi na nafasi za uongozi.

Kama nchi bado sana, maendeleo ni culture pia.

Magufuli kuna elements kidogo zilipungua, Tunahitaji mtu bora zaidi
 
Back
Top Bottom