Eugene Krabs
JF-Expert Member
- Feb 19, 2026
- 451
- 859
Alikuwa na mapungufu yake, issue hapa ili Tanzania ianze safari serious ya kujitegemea; na lazima aje kiongozi wa kupambana culture ya kufanya vitu Tanzania.Magufuli alipima mapapai na Mbuzi kwenye vipimo vya COVID.
Hakuna logic yoyote, ni ujinga tu. Huwezi kutumia kipimo cha malaria kupika sample za maembe.labda wewe na wenzako wengi hamkuelewa logic ya kwa nini walifanya hivyo, kama ungeelewa usingelata kejeli ...
Unamaanisha nini ukisema kujitegemea? Hii kauli huwa nasikia inarudiwa rudiwa na watu wengi sana ila sijawahi kuelewa nini hasa inamaanishwa wanaposema Tanzania ijitegemee.Alikuwa na mapungufu yake, issue hapa ili Tanzania ianze safari serious ya kujitegemea; na lazima aje kiongozi wa kupambana culture ya kufanya vitu Tanzania.
Hiyo safari ya kubadili social thinking aikwepeki na sio rahisi wala aijwahi kuwa rahisi popote duniani.
Lazima mtu mmoja aifanye hiyo kazi.
CCM Walianza hivi
Hakuna logic yoyote, ni ujinga tu. Huwezi kutumia kipimo cha malaria kupika sample za maembe.
Rubbishndiyo maana nakwambia haukuelewa, pcr testing mwanzoni wapo baadhi scientists ambao walikuwa wana doubt kama kweli unaweza kuthibistisha virus vya covid kwa kutumia polymarase chain reaction pcr, wapo scientiat wengi tu prominents kuna kitu kinatwa false positive kagoogle maana yake kama hauelewi ...
Rubbish
Wider topic kuanzia budget, uzalishaji, technology, medicine, finance (for private sector) and so on.Unamaanisha nini ukisema kujitegemea? Hii kauli huwa nasikia inarudiwa rudiwa na watu wengi sana ila sijawahi kuelewa nini hasa inamaanishwa wanaposema Tanzania ijitegemee.
Msaada ni sera za serikali za Magharibi na Africa, mwingi wa huo msaada pia huwa unatamuka vibaya tu.Wider topic kuanzia budget, uzalishaji, technology, medicine, finance (for private sector) and so on.
Kumbuka Tanzania ni among least developed nations kwa hivyo kuna mambo luluki bado kufikia self sustainability bila ya misaada.
Now don’t turn this into a social policy thread, tubaki kwenye maudhui ya mleta mada; uwezo wa watu huko serikalini and what’s wrong with them.
Yupo mmoja ni kada na alitokea UVCCM pale Iringa.Vyote kwa pamoja
Kila mtu anamtegemea mwenzake
Sitasahau nilipomuona DSO mmoja anagawa t-shirt za kampeni za ccm huko pwani.
Way back 2015
Kufa kwa TISS ni majumuisho ya mambo yake yenyewe kama taasisi na mambo ya huko CCM kwenyewe.
Magufuli alipima mapapai na Mbuzi kwenye vipimo vya COVID.
Jambo TV wamefungiwa na TCRA kwa muda wa miezi kadhaa.Jambo TV tena, hii mijadala si ilikatazwa
Aisee hii hatari sanaJambo TV wamefungiwa na TCRA kwa muda wa miezi kadhaa.
Ni pascal mayalla?Ila kicheko cha Pascal Mayalla bana🤣🤣🤣😂😂