Kutoka JamiiForums: Kliniki ya Kidigitali Maalum kwa Wanawake katika kumsheherekea Mwanamke

Kutoka JamiiForums: Kliniki ya Kidigitali Maalum kwa Wanawake katika kumsheherekea Mwanamke

Ujinga tu, waste of money and resources, kwanini mnauwa mbu kwa gobole? Si mtengeneze documentary kuhusu mitandao ya kijamii then upload it on youtube na kila mtu afaidike, sasa mnataka kuleta ujuaji na kuuza sura pale mcity ili iweje? Acheni ujinga bhana...

Unadhani kuna documentary inayoweza kucover suala mtambuka kama hilo (mitandao ya kijamii)? Wenye issues unique watafaidikaje na documentary?
 
Hongereni JamiiForums...

Ningependa kuona mnafanya haya often, ikiwa siku ya ajira dunia mna host a workshop kusaidia watu kuandika CV, Cover Letter na labda kulink watu na prospective employers, pia ikiwa siku ya UKIMWI duniani mnasaidia kuelimisha Jamii na kuikumbusha UKIMWI upo, ila sijui ikija siku ya wajinga duniani mtafanya nini? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Hongereni JamiiForums...

Ningependa kuona mnafanya haya often, ikiwa siku ya ajira dunia mna host a workshop kusaidia watu kuandika CV, Cover Letter na labda kulink watu na prospective employers, pia ikiwa siku ya ukimwi duniani mnasaidia kuelimisha Jamii na kuikumbusha Ukimwi upo, ila sijui ikija siku ya wajinga duniani mtafanya nini? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣

Rebeca, I am your all time follower, just impliedly. You are bright fulani hivi.

-Kaveli-
 
FRANCIS DA DON,
Mkuu, naamini unao uwezo wa kujenga hoja zaidi ya kuiita taasisi Kama JamiiForums kwamba hiki wanachokifanya kwamba ni Ujinga. Bado naamin unao uwezo wa kutoa ushauri wa nini kifanyike kuwafikia watu wote na ukawa umesaidia jamii. Umejishushia heshima kwa hii post yako, nlikuwa nakuheshimu sana. Pitia kwa jicho la kiutu uzima hicho ulichoandika.
 
Msaada Jinsi ya kuscreen shot massage za what’s up

Mkuu Sky Eclat tunatumaini u mzima wa afya

Katika ku-screen shot sms za WhatsApp unafanya kama unavyo-screen shot vitu vingine tu kwenye simu yako ambapo kuna njia tofauti katika iPhones na simu za Android

Njia ya kwanza ni ya kawaida kabisa ambapo kwa iPhones unabofya Kitufe cha ‘Home’ pamoja na Kitufe cha ‘Power’ kwa muda wa sekunde 2. (Yaani Home + Power) kama unatumia iPhone ambayo ni kuanzia iphone 8 kwenda Juu, zisizo na kitufe cha ‘Home’, unaweza ku-screen shot kwa kubofya kwa pamoja kitufe cha ‘Power’ na Kitufe cha Kuongeza Sauti

Kwa simu za Android kuna utofauti kwa aina ya simu utakayotumia; Kwa simu za Samsung bofya kitufe cha ‘Home’ na kitufe cha ‘Power’ kwa pamoja kwa sekunde 2 ila kuna simu nyingine kama aina ya LG, Nexus na Motorola unatakiwa ubofye kitufe cha ‘Power’ kwa wakati mmoja na Kitufe cha Kupunguza Sauti

Lakini tofauti na hivyo kuna Apps ambazo unaweza kuzipata kupitia Play Store (Android) na App Store (iPhone) zitakazo kusaidia ku-screen shot
 
Mkuu Sky Eclat tunatumaini u mzima wa afya

Katika ku-screen shot sms za WhatsApp unafanya kama unavyo-screen shot vitu vingine tu kwenye simu yako ambapo kuna njia tofauti katika iPhones na simu za Android...

Lakini tofauti na hivyo kuna Apps ambazo unaweza kuzipata kupitia Play Store (Android) na App Store (iPhone) zitakazo kusaidia ku-screen shot
Shukran mkuu
 
FRANCIS DA DON,
Mkuu, naamini unao uwezo wa kujenga hoja zaidi ya kuiita taasisi Kama JamiiForums kwamba hiki wanachokifanya kwamba ni Ujinga. Bado naamin unao uwezo wa kutoa ushauri wa nini kifanyike kuwafikia watu wote na ukawa umesaidia jamii. Umejishushia heshima kwa hii post yako, nlikuwa nakuheshimu sana. Pitia kwa jicho la kiutu uzima hicho ulichoandika.
Sasa kwanini usiijibu hoja yangu kama ilivyo badala ya kutafuta huruma, huoni unajishushia heshima na wewe?
 
Kwanini msiwe Live kwenye Tvili hata wanawake wa nanjilinji,Tukuyu na huko Nyasa waweze kufaidika na Darasa hilo
Mtu mwenye uwezo wa kwenda mlimani city nadhani anaufahamu mkubwa wa mitandao, hao wa Nanjilinji ndio hasa walengwa..
 
Back
Top Bottom