Ujinga tu, waste of money and resources, kwanini mnauwa mbu kwa gobole? Si mtengeneze documentary kuhusu mitandao ya kijamii then upload it on youtube na kila mtu afaidike, sasa mnataka kuleta ujuaji na kuuza sura pale mcity ili iweje? Acheni ujinga bhana...
Hongereni JamiiForums...
Ningependa kuona mnafanya haya often, ikiwa siku ya ajira dunia mna host a workshop kusaidia watu kuandika CV, Cover Letter na labda kulink watu na prospective employers, pia ikiwa siku ya ukimwi duniani mnasaidia kuelimisha Jamii na kuikumbusha Ukimwi upo, ila sijui ikija siku ya wajinga duniani mtafanya nini? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Msaada Jinsi ya kuscreen shot massage za what’s up
Shukran mkuuMkuu Sky Eclat tunatumaini u mzima wa afya
Katika ku-screen shot sms za WhatsApp unafanya kama unavyo-screen shot vitu vingine tu kwenye simu yako ambapo kuna njia tofauti katika iPhones na simu za Android...
Lakini tofauti na hivyo kuna Apps ambazo unaweza kuzipata kupitia Play Store (Android) na App Store (iPhone) zitakazo kusaidia ku-screen shot
Sawa nimekuelewaFRANCIS DA DON, Hakukuwa na sababu ya kuanza na neno ujinga,unaweza kujenga hoja bila kutumia lugha ya kukera.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kwanini usiijibu hoja yangu kama ilivyo badala ya kutafuta huruma, huoni unajishushia heshima na wewe?FRANCIS DA DON,
Mkuu, naamini unao uwezo wa kujenga hoja zaidi ya kuiita taasisi Kama JamiiForums kwamba hiki wanachokifanya kwamba ni Ujinga. Bado naamin unao uwezo wa kutoa ushauri wa nini kifanyike kuwafikia watu wote na ukawa umesaidia jamii. Umejishushia heshima kwa hii post yako, nlikuwa nakuheshimu sana. Pitia kwa jicho la kiutu uzima hicho ulichoandika.
Mtu mwenye uwezo wa kwenda mlimani city nadhani anaufahamu mkubwa wa mitandao, hao wa Nanjilinji ndio hasa walengwa..Kwanini msiwe Live kwenye Tvili hata wanawake wa nanjilinji,Tukuyu na huko Nyasa waweze kufaidika na Darasa hilo