Nimesimama karibu na afande mmoja hapa Jangwani anasema hii haijawahi tokea na anakiri Safari hii CCM hawaponi .nashukuru amenipa Sana moyo Kuwa mpaka 25 October tutapigwa sana mabomu lakini hatimaye tutashinda.Nimemshukuru na nimempa Buku tano anywe angalau maji maana anaonekana mchovu sana kwa kukosa usingizi
mayenga
Hii nimeikopi sehemu :
Chama "chetu" kina majibu tena siyo ya reja reja ni ya Jumla tu:
1.Vivuko na tiketi kunatakiwa takwimu kukubaliana na hili la hasara.
2.Uuzwaji wa nyumba, ni mamlaka ya juu kwa ushauriwa WB na IMF. si yeye.
3.kubomoa petrol station, ni tatizo la Mwanasheria kwa upande wa Tanroad Kutotimiza wajibu. Fuatilia kesi ilivyoendeshwa,. Si yeye.
4. Meli na samaki sawa na hapo juu namba 3.
5. Mikataba ya ujenzi ina taratibu zake.haivunjwi kwa matamko.
=kwa kweli Hapa ni Kazi tu kutetea chama "chetu " na mgombea wake.
mods unaajenda gani na ccm? mbona umeunganisha uzi wa kishenzi wakati haukuwepo humu? tena umeuweka page ya mwanzo? najua lengo lenu ni kutupptezaa lkn hapa mtashindwaa