Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kazi ya kusombelea nyumbu jangwani imeenda vizuri
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1440845836.082695.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1440845836.082695.jpg
    33.4 KB · Views: 660
Mimi sijajiandaa ndio nilikua nimetoka kula ugali wangu hapa nikadhani nitapata muda wa kupumzika!!!!
Kwa jinsi ninavyoambiwa wanaume mtapata taabu sana pa kukaa.
Sie wanawake Mbowe katufanyia favour, ngoja nijiande sasa.
Nikirudi hapa naaga tu.

usiwakatishe tamaa mum waache waje tutabanana sie dugu moya ati?
 
Mtag makufuli aone mwenyew
Hilo Nyomi hatari aseee
 
wa ARUSHA, MWANZA, MBEYA na kwingineko tumekuja dar asante LOWASSA kwa kutuleta dar.....


"mtanzania atakayemchagua lowassa basi akapimwe akili" by MCH MSIGWA, mbunge na kiongozi wa CDM.
dalili za kuchanganyikiwa hizi.
jiandae kisaikolojia
 
Nimepita jangwani muda huu nikitokea kariakoo, hiyo nyomi ni balaa! Na watu wanatembea kwa miguu toka kariakoo na wengine wakitokea magomeni! Baada ya SAA moja kutoka sasa pale jangwani itakuwa kama bahari ya watu?

Lowassa asisahau kuna millions of people tuko mbali na eneo la tukio, tutaungana kupitia TV
 
On this very day,at this very place God bear witness the die is cast,change is inevitable. Mabadiliko lazima.
 
huyu Lizabon si nimwanaume lakini

Mmmmh! Mwanaume gani anakuwa na kiherehere namna hiyo? Lizabon, Simiyuyetu, Faiza Foxy na Jingalao wote hao ni wanawake. Jaribu kuchunguza utagundua kitu Mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Kikwete Mkapa wanaunga mkono lowasa na mabadiliko ila kimtindo sana kama kutukana kukejeli lakini el anampenda lowasa bado ni marafiki wakubwa huu ni mchezo wa kimafia ndio maana timu ya kampeni magufuli ina watu 30 na hawajui majukumu yao hawajui wafanye nini lini wapi na hakuna wa kuwaongoza .heko jk
 
Wakuu bado sijaridhishwa na uletwaji wa picha katika hili tukio, mboma za mwanza,mbeya na Arusha zilikuwa zinamiminika kila dakika, dar mumekuwaje leo.....au kuna uzi mwingine una hili tukio mimi sina habari?
 
Back
Top Bottom