Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Sera ya UKAWA ni kuiondoa CCM ,mengine yatafuata baadae ,Muungano wa Ukawa ni kuiondoa CCM ,umoja wa UKAWA ni kuhakikisha CCM inaondolewa madarakani ,Yaani wakuu wa UKAWA leo wakisema nia na lengo ni kuiondoa CCM basi imetosha kabisa. Hatuhitaji kusikia mambo ya lami wala bahari tumeshasikia mika kibao ,tunalohitaji kusikia ni njia za kuiondoa CCM.

Magufulia anajisifia kuwa atatengeneza barabara utafikiri kazi ya rais ni kujenga barabara, sera yake ni barabara
 
Lowassa weka kadhi kwenye moja ya ahadi yako uwapitie na mafuriko akina FaizaFoxy!
 
Last edited by a moderator:
11821696_520526414780206_490687161_n.jpg

mimacho ya mkulu hata hapa hiioni nyomi?
 
Nimepita jangwani muda huu nikitokea kariakoo, hiyo nyomi ni balaa! Na watu wanatembea kwa miguu toka kariakoo na wengine wakitokea magomeni! Baada ya SAA moja kutoka sasa pale jangwani itakuwa kama bahari ya watu?

Mimi Tomaso, naelekeo huko my self. Huu mwaka tumepania, ccm wakichomoka mwaka huu sintoamini tena kama kuna Mungu atakuwa ni magumashi tu, nitajiunga rasmi na Atheist.
 
Sera ya UKAWA ni kuiondoa CCM ,mengine yatafuata baadae ,Muungano wa Ukawa ni kuiondoa CCM ,umoja wa UKAWA ni kuhakikisha CCM inaondolewa madarakani ,Yaani wakuu wa UKAWA leo wakisema nia na lengo ni kuiondoa CCM basi imetosha kabisa. Hatuhitaji kusikia mambo ya lami wala bahari tumeshasikia mika kibao ,tunalohitaji kusikia ni njia za kuiondoa CCM.

Umemaliza mkuu, suala hapa ni hili dude life na tuling'oe. Shimo tutafukia wote baadae, suala hapa ccm itokeeee. Period.
 
wa ARUSHA, MWANZA, MBEYA na kwingineko tumekuja dar asante LOWASSA kwa kutuleta dar.....


"mtanzania atakayemchagua lowassa basi akapimwe akili" by MCH MSIGWA, mbunge na kiongozi wa CDM.
 
Hahahahaaa! Safari hii Watoto wa Lumumba mtaomba poo!
 
Hayo maneno ya kutakaswa sijui mungu kafanya nini acheni msifien lowasa kwa kila aina ya meneno lakin msilete udini mtaharibu vijana wenzangu

Kaka hawa ni malofa wala vichwa hawana
 
Back
Top Bottom