jamiiforum
ila nasikia watakata matangazo ya kingamuz cha startimes ili itv isionekane
Yan Kampeni Za Mwaka Huu,kila Chama Kinataka Kumuonyesha Mwenzie Anaubavu Wakujaza Watu..Trh 23,ukawa Mliwasema Sana Ccm Sijui Wamekodi Uda Lakini Nyie Vp Leo Mnarudia Kilekile?

majuzi alisimama dakika 7, leo nitaendelea kujua anamudu kuhutubia kwa dakika ngapi?
Inawezekana mimba yako ilipatikana guest house.jitu zima linaropoka kinyesi tu hiyo jangwani ya wapi uliyopo gamba wee!
Nipo uwanjani hili nyomi ni Balaa
Umkaribishe na Mzee MwanakijijiMi mwenyewe nipo nimetinga magwanda yangu hapa tayari kuanza safari ya matumaini.
Nyomi ni nomaaaaaaa.
Magufuri ni mpango wa mungu kaka
majuzi alisimama dakika 7, leo nitaendelea kujua anamudu kuhutubia kwa dakika ngapi?