eliewaha sengela
Member
- Aug 16, 2015
- 8
- 0
itv wanaanza kurusha saa ngapi
chanel gani wanalusha live
Acheni ujinga nyie mie nipo uwanjani pamepooza sana bora sisi tulikuwa na wasanii wengi wenye mvuto na palipendeza sana leo bored bora nijiondokee zangu
Mkuu hili jambo limeniuma mpaka basi.
Watu tumekesha na ule uzi,.... dah, mpaka nashindwa kuandika.
chanel gani wanalusha live
vipi hawagawi hela leo??
Kuku zangu zinasumbua huko nyumbani, yaani kwa kifupi hakuna anayekubali kubaki nyumbani. Azimio la Uhuru wa Tanzania linaandikwa leo Jangwani
nataka tupambanishe number of reply kati ya uzinduzi wa ccm na ukawa
chanel gani wanalusha live
Wewe umetoa point ipi sasa hapa? Pinga kwa hoja mkuu. Hiyo dhana ya mfumo ni porojo za kisiasa
mm kwenye familiya yangu aliyekuwa mbishi ni bibi tu, sasa ananiamini mm kuliko wote. Nilipoenda home majuzi nikamuuliza bibi utampa nani akasema "wa chama cha nyerere" nikamuonesha picha ya pombe na edo kabla sijatoa maelezo akajibu nanukuru " mamaaaa huyu anamfanana nyerere" nikamwambia bibi huyu ni mtoto wa nyerere anaitwa lowasa. Ukienda kupiga kura uone mwenye nywele nyeupe akasema ndio. Chezea lowasa wewe na nywele zenye landmark.