peteroscar
New Member
- Jul 11, 2015
- 4
- 1
Huna point. Unasahau kuwa ccm wanamfumo mbovu sio? Najua wewe ni naguful mchague apite uone kama ataonesha makar yke. Kaka miaka 50 ccm hamna jipya. Kama huna maada usitusumbue kaka
Mmepagawa naona maneno ya ccm yamewakaa kweli juzi yule fisadi wenu Lowasa naye anasema wataisoma namba ha haha ha ha.tukutane 25, octoba. UKAWA mbele kwa mbele
Huna point. Unasahau kuwa ccm wanamfumo mbovu sio? Najua wewe ni naguful mchague apite uone kama ataonesha makar yke. Kaka miaka 50 ccm hamna jipya. Kama huna maada usitusumbue kaka
na mm nashangaa uo uzi ulikuwepo na unajitegemea yaan umepotea kabisa
Kwangu mimi mtu Mpuuzi kuliko yeyote DUNIANI ni yule ambaye anaposhindwa kumaliza matatizo yake mwenyewe anamrushia mwingine, au anatoa sababu za kumlaumu mwingine! Huwezi kuniambia hata baada ya Lowasa kukaa kando zilipokuja issues za Escrow na katiba mbovu n.k nayo pia ni Lowasa! Poor you, mnatafuta pa kufia tu......Changamoto chache zilizokuwepo ccm zilisababishwa na hili fisadi linaitwa Lowasa bora limeondoka kwasasa ccm ni njema kabisa.
tupo jangwani mvua si lolote kwetu...
Iksihajengwa ianze na wamiliki wa Simba Trust, Kagoda, N.KNgoja mahakama ya mafisadi ijengwe hilo fisadi lenu sijui litaponea wapi magufuli tumaini la watanzania.
Nakuamini kwa updates.
Moderators:kuna thread ilianzishwa na Standalone saa sita kamili ya usiku wa kuamkia leo ikiwa na lengo la kutoa updates za uzinduzi wa jangwani leo,mbona mmeunganisha na thread ya maandilizi ya Jana asubuhi?
Mmepagawa naona maneno ya ccm yamewakaa kweli juzi yule fisadi wenu Lowasa naye anasema wataisoma namba ha haha ha ha.