Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Watu wanashauriwa kuwa mbali na maeneo yenye msongamano wa watu.
 
Huku usukuma Enzi za Utawala wa Chief ili uteuliwe kuwa mtemi tukio lilikuwa linafanyika kiangazi halafu jina la Mtemi mtarajiwa likitajwa ilikuwa lazima mvua inyeshe isponyesha jina linakatwa anatajwa mwingine.
mwaka 1990 Papa Jonh Paulo II alipozuru Tanzania mvua kubwa ilinyesha jangwani.
Lowassa ni mtawala ni mpakwa mafuta mwacheni achukue nchi.Mvua imemdhihirisha kuwa ndiye rais wa Tano wa URT
 
Nyenyere

Wananchi wakiamua hata ulete porojo zipi, wao wameamua. Tukutane 25 Octoba! Mutajibeba mwaka huu. Kenya Wananchi walisema Rais wao ni huyo huyo aliyeshatakiwa The Hague na ipo hivyo hadi leo. Na ndivyo Watanzania walio wengi wanasema Rais wetu ni huyo huyo FISADI, ni uamuz wa Wananchi! Utakuja kushtuka propaganda zenu zikitupwa kuleeeee!



Naona kuna mvua aiseeeee, mkutano utakuaje Jangwani jaman?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom