mdafanga
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 618
- 197
mkuu hapa umeongea kizinza cha maghufuri au?
Magufuri ni mpango wa mungu kaka
mkuu hapa umeongea kizinza cha maghufuri au?
hiyo inaashiria ukawa wamebarikiwa na kupata kibali toka kwa MUNGU
acha wivu wenzako wanapobarikiwa dada!...wewe ndie unaejua hilo,muda wenu umeisha sasa ni zamu ya wengine kuongoza nchi.mmekataliwa hamuamini tu?
Mchambue mtu kama msomi.Discuss on both sides of the coin.His positive&-ve contributions
Umezaliwa lini?.Unakumbuka enzi za Prime minister Edo.Alipokuwa an ziara wilayani?.Matumbo yalikuwa moto tangu DC hadi mkurugenzi....
Post yako ni ya kikada na sio kisomi.Wewe ni Kada wa CCM.
According to you...how many years?
Jangwani ikigeuzwa bwawa na mvua ndo baraka hizo??
Nafikiri ni kuambiwa kuwa hamtakiwi kuwapo hapa!
Wakina Nape wamekwenda kwa Waganga wameleta mvua
Mnalazimisha maji kupanda mlima haita kaa itokee lowasa kuwa raisi yeye mwenyewe analijua hilo
Mvua iliyo anza kunyesha asubuhi ya leo mkoa wa Dar es salaam imeharibu mkutano wa UKAWA.
Vipi Kingunge hajafika uwanjani?Wachawi ndio wanaoongea habari ya mvua !
mimi muda huu niko mtaa wa sikukuu karibu kabisa na jangwani HAKUNA HATA MANYUNYU.
Usirudi hatutaki mafisadi; wewe ulishahama nchi. Unataka uhame mara ngapi? Toka lini maiti ikafa tenaNa haidi kuama hii nchi lowasa akiwa raisi
Mnalazimisha maji kupanda mlima haita kaa itokee lowasa kuwa raisi yeye mwenyewe analijua hilo
Na haidi kuama hii nchi lowasa akiwa raisi