Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Nakuamini kwa updates.
Moderators:kuna thread ilianzishwa na Standalone saa sita kamili ya usiku wa kuamkia leo ikiwa na lengo la kutoa updates za uzinduzi wa jangwani leo,mbona mmeunganisha na thread ya maandilizi ya Jana asubuhi?
 
Wananchi wakiamua hata ulete porojo zipi, wao wameamua. Tukutane 25 Octoba! Mutajibeba mwaka huu. Kenya Wananchi walisema Rais wao ni huyo huyo aliyeshatakiwa The Hague na ipo hivyo hadi leo. Na ndivyo Watanzania walio wengi wanasema Rais wetu ni huyo huyo FISADI, ni uamuz wa Wananchi! Utakuja kushtuka propaganda zenu zikitupwa kuleeeee!



Naona kuna mvua aiseeeee, mkutano utakuaje Jangwani jaman?

Ni maoni yangu CHAZA
 
Last edited by a moderator:
Habar wana Jf, Kwa Mara ya kwanza leo Naandika Topic hii nikiwa Mgen humu ndani pia nachukue nafc hii Adhim kuwapongeza wale wote wenye Uchungu wa kweli wa Ukombozi wa Taifa letu, Hakika Mungu atawalipa kwasababu Mungu wetu anataka kweli yenye Mapenz Mema, Pia Mungu Awabarki wale wote ambao wamefungwa na Ibilisi na pia kuwa mawakala wa kutetea Maovu yanayofanyika ktk nchi yetu yenye baraka zote kutoka kwa Allah,Binafc nijickia mwenye Amani nikiwa kama Mmoja wa wasema kweli ndan ya jukwaa au Nje ya Jukwaa na ndiyo mana leo Tunalikomboa Taifa letu Iwe Mvua Iwe Jua Jangwani Hatukosi kuwepo, Pamoja tutashnda
 
vuguvugu la jangwani leo limeteka nchi nzima masikio pale. Mkapa mwenyewe katulia home kimya akipapasa kama hoja zake zitajibiwa.
Hapa mabadiliko tu; kazi tukifika ikulu

kama nawaonavile.
 
Bado hamjaaza kampeni lakini kama vile mko kwenye kampeni, mna nafasi kubwa ya kummaliza Magufuli leo na lazima kulenga target.

Target ni boss wake, mkimtuliza basi Magufuli hawezi tena, fanyeni kazi nafasi yenu.
 
Mnalazimisha maji kupanda mlima haita
kaa itokee magufuli kuwa raisi yeye
mwenyewe analijua hilo
 
Nakuamini kwa updates.
Moderators:kuna thread ilianzishwa na Standalone saa sita kamili ya usiku wa kuamkia leo ikiwa na lengo la kutoa updates za uzinduzi wa jangwani leo,mbona mmeunganisha na thread ya maandilizi ya Jana asubuhi?

na mm nashangaa uo uzi ulikuwepo na unajitegemea yaan umepotea kabisa
 
Mimi sio CCM, bali CHADEMA asilia, nachukizwa na kitendo cha kukanyagwa kwa demokrasia

Chadema iko moja sasa iyo asilia unaitoa wap? Ttzo watto wa Lumumba mnatunga sana hbr afu mnakuja jamvini na kupost
 
Hatuna tatizo na Magufuli, tuna tatizo na mfumo wake mzima na wapambe wake! yeye zile dhambi alizonazo zinamtosha kwa sasa! Ukiiondoa CCM basi umepunguza nusu ya tatizo kwa asilimia karibia hamsini, kila mtu ataanza kufanya mambo lwa tahadhari na kujua kuwa cheo sio dhamana
 
hiyo inaashiria ukawa wamebarikiwa na kupata kibali toka kwa MUNGU

Katika Biblia Mvua ni dalili ya ujio wa Mungu. Katika mila za kiafrika mvua ni ujio wa mfalme au mtu wa neema. Hivyo mvua ni Baraka na ni neema. Mbarikiwe wote!
 
Bado hamjaaza kampeni lakini kama vile mko kwenye kampeni, mna nafasi kubwa ya kummaliza magufuli leo na lazima kulenga target. Target ni boss wake,mkimtuliza basi Magufuli hawezi tena.....fanyeni kazi nafasi yenu.
Nyie mafisadi mnataka kuumuuwa ? Ole wenu Rais wetu magufuli muumwagie sumu au tindikali tutawatia moto wote mafisadi nyie.
 
Hatuba tatizo na Magufuli, tuna tatizo na mfumo wake mzima na wapambe wake! yeye zile dhambi alizonazo zinamtosha kwa sasa! Ukiiondoa CCM basi umepunguza nusu ya tatizo kwa asilimia karibia hamsini, kila mtu ataanza kufanya mambo lwa tahadhari na kujua kuwa cheo sio dhamana
Changamoto chache zilizokuwepo ccm zilisababishwa na hili fisadi linaitwa Lowasa bora limeondoka kwasasa ccm ni njema kabisa.
 
Back
Top Bottom