Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

duh kweli lowasa anapendwa jamani watuwanamiminika kwa wingi balaaaa ccm ilikua cha mtoto
 
Iksihajengwa ianze na wamiliki wa Simba Trust, Kagoda, N.K

Hata hivyo video hii ya ukatili wa Polisi unanitia moyo kwamba kumbe tukiamua na sisi tunaweza kuwapiga Polisi



Kesi ya jinai haiozi wala hairithiwi ujumbe ndio huo Dr wa sheria amekwisha sema ushahidi ulihifadhiwa. Mkilazimisha ikulu lazimwa aswekwe lockup, alianza Masha hiyo ni salamu. Magufuli keshawatonya mahakama maalum ioooo inakuja. Na yeye EL aseme km ktk sera yake atajifungulia mahakama imchunguze.
 
Last edited by a moderator:
Changamoto chache zilizokuwepo ccm zilisababishwa na hili fisadi linaitwa Lowasa bora limeondoka kwasasa ccm ni njema kabisa.

miaka nane tangu lowassa atoke serikini ufisadi umeondoka au umeongezeka?

Zile pesa za escrow pale stanbic bank ni lowassa ndiyo alizichikua kwenye magunia?

Wale twiga waliopanda ndege ni lowassa aliwapandisha?

Zaidi ya shilingi bilioni 260? Zisizo kuwa na maelezo pale kwenye wizara ya magufuli zilizopotea ni lowassa kazichukua?

Kagoda, meremeta, epa, ni lowassa alichukua?
 
Ccm kweli kidume,kinapambana na vyama 4 na bado kinavitoa jasho,kweli hii ni balaa hawajiamini,hawalali ukawa wanaifikiria ccm tu
 
Ulianza vizuri ila umeharibu katikati baada ya kujikita katika hisia zako ambazo zimekupambanua kuwa wewe umelalia wapi. Hivyo umesababisha wachangiaji kutotoa ushirikiano na ndiyo maana baadhi wamesema usubili majibu oktoba 25
 
Nyenyere

Hatuhitaji watu wa kutuzungusha vichwa kama sisiem Leo El yupo. Chadema ongea kuhusu ukurasa huu mpya.nivema ukajenga hoja mpya za akiwa Chadema kuliko kupoteza muda.AU UMETUMWA KUTUKANGANYISHA KI HOJA? ULIPO SIKIA MKUU ANARINDIMA LEO.
 
Last edited by a moderator:
Angalia nyomi ya mikoani ccm ndiyo upate jibu

Kweli miji... Ndio iliwayo..walidhani watazuia wananchi wote kufuata rais mtarajiwa. Walibaki kuandaa vikundi vidogovidogo vya wapumbavu wanywa viroba ili wazomee.
 
Nyenyere

Hatuhitaji watu wa kutuzungusha vichwa kama sisiem Leo El yupo. Chadema ongea kuhusu ukurasa huu mpya.nivema ukajenga hoja mpya za akiwa Chadema kuliko kupoteza muda.AU UMETUMWA KUTUKANGANYISHA KI HOJA? ULIPO SIKIA MKUU ANARINDIMA LEO.
Pipoooooooooozzzzzy! !!!!!!!!!! Kibla jangwani
 
Last edited by a moderator:
Utahama uende wapi wewe maskini wa kutupwa. Wenye uwezo wa kuhama hawasemi
 
PRAYER FOR THIS SPECIAL DAY

I am dwelling in the secret place of the Most High. I will say of the Lord, He is my refuge and fortress, My God; in whom I trust implicitly. Surely, My God shall always deliver those at Jangwani today from any entrapment Satan may consider as well as from ailments and all other health related issues.

My GOD cover them with His impenetrable armour and His truth remains their eternal shield and protection. It is based on these facts that they will never be afraid of terror at any time or anywhere; as even though others might be afflicted, such will never be their case as I, Dr. Meandu, have established the Lord as their eternal refuge and guardian.

Our loving God will charge His angels to keep them safely throughout all the whole day encounters so that no harm comes near them and should adversity confront them, it will be thoroughly vanquished just as their profound faith in and love for our God grows and blossoms daily.

In their quiet and lonely life, they have taken the conscious decision to always set their love upon God, Who will forever be there to guide, protect and bless them abundantly so that all our hopes, dreams and aspirations in 2015 elections will become reality. Our God will always deliver on our behalf and set us on high because we have known His Name and committed our all to Him.

Whenever our call upon God Mighty, He will answer us in good time; as He will always be with us throughout our 2015 presidential elections journey. Our God will honour us and ensure those at Jangwani and elsewhere abundant prosperity so that with long life they will be a true testament to His eternal love and Salvation."

Lord, I claim these promises of protection and thank you profoundly for your Divine protection and ineffable love always.

Amen
 
Back
Top Bottom