sifongo
JF-Expert Member
- Jun 5, 2011
- 4,895
- 5,308
People's
Pawaaaaaaaaa......mwaka wa kumpiga mawe shetani huu.
People's
Mkuu hivi ITV naweza ipata online maana nimejaribu inagoma ntaka niangalia mafurikoNipo na JK magogoni tunasubiri ITV waanze kurusha matangazo ili tuangalie mafuriko ya raisi Lowassa
Hakuna namna tena. Ni ule wakati wa Mungu umefika.
CCM lazima iondoke!
Umeme haukatikagi kwenye mitaa ya vigoo wa serikali mda ukiwadia wa live kwenye tv presha ya mafuriko lazma iwamalizekaribu maeneo yote umeme hamna hata mi nimeshangaa sana.
Changamoto chache zilizokuwepo ccm zilisababishwa na hili fisadi linaitwa Lowasa bora limeondoka kwasasa ccm ni njema kabisa.
mods wana upendeleo sana huwa wanapenda kuingilia thread za chadema ni upuuuzi kabisa kuna uzi ulianzishwa jana na wanaofahamika humu kama makada wa chadema mida yaa saa 6 akaunganisha na maandalizi .....leo huu uzi hajaunganisha lakni hata mfanyeje update zitapatikana tuuu tv zote zinaonyesha...........
UMEME yani wamekata miji mikubwa yote...nauku kwenye uzinduzi wa CCM Umeme ulikua TANZANIA nzima....MALOFA NA WAPUMBAVU lazima tuwaoneshe nini maana ya...
Pawaaaaaaaaa......mwaka wa kumpiga mawe shetani huu.
CCM wangekuwa wanafuata sheria wangekupeleka gerezani kwa kuwapakazia kuwa ni wema.
Acheni ujinga nyie mie nipo uwanjani pamepooza sana bora sisi tulikuwa na wasanii wengi wenye mvuto na palipendeza sana leo bored bora nijiondokee zangu
Mi mwenyewe nipo nimetinga magwanda yangu hapa tayari kuanza safari ya matumaini.
Nyomi ni nomaaaaaaa.