Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Mkuu mimi naacha simu home bwana naogopa kuporwa!
Hata hivyo angalia kuna picha hapo Abou Saydou kaiweka....
Na hapo ni saa 6 mchana huu.
Ikifika saa 9 si kutakua kumetapika?

Wanawake mnakaa peke yenu bado unaogopa kuporwa?
 
Last edited by a moderator:
Kinachonishangaza ni views na coments kumhusu lowasa na chadema kuwa nyingi ajabu, yaani ndani ya lisaa limoja views kibao. mfano tangu uzi huu uachiwe hadi sasa 12:34


  • Replies: 229
  • Views: 9,385
 
UMEME yani wamekata miji mikubwa yote...nauku kwenye uzinduzi wa CCM Umeme ulikua TANZANIA nzima....MALOFA NA WAPUMBAVU lazima tuwaoneshe nini maana ya...

Huree team malofa tupoo
 

Attachments

  • 1440840873863.jpg
    1440840873863.jpg
    14.9 KB · Views: 775
Watu ni wengi sana,wenye magari tafadhal myaache nje ya mji,jangwani hakuna nafasi
 
Mkuu mimi naacha simu home bwana naogopa kuporwa!
Hata hivyo angalia kuna picha hapo Abou Saydou kaiweka....
Na hapo ni saa 6 mchana huu.
Ikifika saa 9 si kutakua kumetapika?
Pamoja nifah najua mafuriko yatakuwa akuna mfano
 
Last edited by a moderator:
Nafasi ya Urais sio nafasi ya kupata "kama zari".

Hata uwe kiongozi mzuri kiasi gani huwezi kushtukizwa na kupewa mikoba ya nchi kirahisi rahisi tu.

Lazima uwe umejipanga, umejiandaa na uko tayari.

Hotuba za Magufuli zinadhihirisha kuwa aliingia kwenye kinyang'anyiro kwa kujaribu. Membe alitangaza nia Lindi, Makamba alitangaza nia Mlimani City, Muhongo- Musoma, Mh.Lowassa;Arusha n.k.

Magufuli alitangaza nia wapi? Alitaja vipaumbele gani? Nini kauli mbiu yake? HAKUNA. Huwezi kumpa mtu 'miaka 5 ya kujiandaa' kuongoza nchi. Tunataka mtu aliyejiandaa an akiingia ikulu aanze kuongoza nchi mara moja. Kuna tofauti kubwa kati ya Magufuli na Lowassa.

Wote ni wepesi katika kufanya maamuzi. Lakini mmoja hufanya maamuzi yenye tija wakati mwingine hufanya maamuzi yenye madhara.

Tuangalie mifano: Mh.Magufuli 'alipiga' bei nyumba za serikali na leo hii serikali inatumia mamilioni kuwapangishia hotelini watumishi wake.HASARA!
✔Mh.Lowassa amesimamia ujenzi wa UDOM na kuongeza idadi ya wataalam mbalimbali nchini.FAIDA.

Ndg.Makufuli amenunua vivuko, pantoni na mashine za tiketi kwa mabilioni lakini hazifanyi kazi/ hazina ufanisi.HASARA.
✔Mh.Lowassa alisimamia ujenzi wa bomba la maji kutoka ziwa Victoria mpaka Shinyanga huku akipuuzia vitisho vya Wasudani na Wamisri vya kuhodhi matumizi ya maji ya Victoria kwa mkataba wa kikoloni.FAIDA.

Mh.Magufuli alibomoa fuel station "shell" huko Mwanza, serikali ikashindwa kesi, tukalipa mabilioni.HASARA.
✔Mh.Lowassa alivunja mkataba wa City Water, hatukushtakiwa.FAIDA.

Mh.Magufuli alikamata wavuvi "halali" tumeshitakiwa, tumedondokea pua, tutawalipa meli yao na gharama nyingine kadhaa, hapo hujajumlisha gharama za utunzaji wa wale samaki.HASARA.
✔Mh.Lowassa, wakati ndege za Malawi zishaanza kuzurura maeneo ya Kyera na Nyasa huku tukiwachekea, alitoa tamko Bungeni...."tuko imara, tumejipanga...". Wakafunga Virago.FAIDA.

Ndg.Magufuli amewanyang'anya kandarasi wajenzi kadhaa kwa matamko tu bila kuzingatia taratibu za mikataba. Wametushtaki, wameshinda, tumewalipa.HASARA.
✔Mh.Lowassa alitaka kuvunja mkataba wa Richmond, kama sio AG Johnson Mwanyika kuomba..."mapumzik ya saa moja nje ya mkutano" ili awasiliane na mamlaka ya juu na baadae kurejea na agizo kuwa..."imeagizwa; mkataba usivunjwe.." pengine leo tusingekuwa tunazungumzia Richmond, baba yake na Dowans, babu wa Symbion Powers. TUNGENUFAIKA. UCCM wangu hauwezi kunipofua nisiuone ukweli huo hapo juu. Ujirani wangu na Mh.Magufuli hapa Chato hauwezi kunishinikiza nimuazime miaka 5 ya kujiandaa badala ya kutawala. NITAMPIGIA LOWASSA. Sambaza Kw watu 20 Kw SMS, Whatsapp.Twitter, Facebook, Instragram nk

jamani haya yote watu hawaoni? Bora ukimwi kuliko lumumba
 
PAMOJA SANAAAAAAAAAA.......UKAWA NI ZAIDI YA TINGATINGA...Peoples powerrrrrrr....Hakiiii sawa...haki sawa kwa nani..kwa wote...NCCR Mageuzi....NLD mabadilikoo....Tunamkubali mgombea wetu na tunakubali mabadiliko. Mabadilikoooooooo.....Lowassaaaaaaaa........Lowassaaaaaa...Mabadilikoooooooooo.
Hatubebi watu kutoka Ikwiriri wala Korogwe, wanakuja wenyewe tena wanakuja taratibu..BIjampola......
KILA LA KHERI WAPENDA MABADILIKO WOOOTEE MLIOJAALIWA KUFIKA JANGWANI.....MUNGU AWATANGULIE MUANZE NAYE MUWE NAYE NA MMALIZE NAYE.....
 
Najua leo hata mjomba anafuatilia hata penda apitwe au aje kuadisiwa ataangalia mwenyewe.
 
Unaona haiwezekani maji kupanda mlima wakati maji yanapanda ghorofani?

achana na akili za wanaccm! kama jk mwenyewe pamoja na kuwepo dar na vyombo vyote vya intelijensia anasema picha za ukawa ni za kuunga unga kwa komputa vipi kwa wafuasi wake?
 
Back
Top Bottom