Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Mkuu mimi naacha simu home bwana naogopa kuporwa!
Hata hivyo angalia kuna picha hapo Abou Saydou kaiweka....
Na hapo ni saa 6 mchana huu.
Ikifika saa 9 si kutakua kumetapika?

Mkuu nawaza hapa sijui niende pamoja na CANON camera yangu nichukue picha kisha niwatumie wadau wa mikoani nao waone Dar patakavyofurika.
View attachment 281653

images (2).jpg

lowassa 2015.jpg

10386767_924343670952472_4370143114598140489_n.jpg
 
nguvu ya umma hakika inaonekana.... kweli watanzania wamekubali mabadiliko.... viva UKAWA
 
CCM wanaendelea kujitoa ufahamu. Eti sasa wanajifanya Lowassa ndiye aliyekuwa kikwazo kilichosababisha washindwe kuwatumikia wananchi.
system ya CCM imefeli. Ndio maana mpaka kipindi hiki cha kampeni nchi iko gizani. Umeme hata wa kuwadanganyia wananchi hakuna!!!

Nchi ipo gizani zaidi ya miezi no maelezo, bajeti isiyotekelezeka kwa miaka kama minne mfululizo. Ni sehemu ndogo aliyobakiza ni kuwahikikishia watanzania ataweza kwa kujenga hoja licha ya imani waliyonayo. Unajua kila kitu ni suala la muda, na Lowasa inabidi kadri muda unavyokwenda inabidi ang'ae zaidi badala ya kupoteza matumaini zaidi.
 
katika hali isiopingika,uzinduzi wa kampeini za ukawa utaipaisha umaarufu wa E.L na mgombea mwenza ampapo zaidi ya watu milioni mbili leo hii watahamia ukawa nchi nzima.
 
Ndugu zangu msifaidi peke yenu,leteni live updates kutoka huko kwani wengi wenu hatutakuwa live na vituo vya TV kutokana na mihangaiko ya kimaisha.
 
Wamemkata wenyewe Lowassa huyooooooooo.Chaguo la pipoo lowassa huyoooo
 
Ukweli ni kwamba pamezubaa sana, pamepooza! Na kuna poor coordination, saa saba hii watu bado sio wengi, niko hapa ngoja niwatumie picha
 
Kibiblia mvua ni dalili ya baraka za mungu!!!!!!!!!!!!!!!!! So, ukawa wanayo baraka ya mungu na mkono wa mungu u'juu ya ukawa kamwe hakuna wa kuwazuia kuingia ikulu 2015 oct 25.
 
Acheni ujinga nyie mie nipo uwanjani pamepooza sana bora sisi tulikuwa na wasanii wengi wenye mvuto na palipendeza sana leo bored bora nijiondokee zangu

Huku baki nyumbani kumsikiliza wa mbeya maana naona mmebana mwishoe upepo umekuwa makali na uchi wa kuku unazidi onekana
 
Naona Oct inachelewa!Kwenye familia yangu ni baba tu amebaki ccm,tena naye alikuwa kwa lowasa kipindi yuko ccm!Ila navyomuona mafuriko hayawezi kumwacha,atasombwa nayo!
So nina kura 5 toka kwa familia na moja haina uhakika ambayo ni ya mzee,kama kijana popote hakikisha unatumia muda huu kuwashawishi walio karibu nawe wafanye mabadiliko!
Kwa pamoja tunaweza!

mm kwenye familiya yangu aliyekuwa mbishi ni bibi tu, sasa ananiamini mm kuliko wote. Nilipoenda home majuzi nikamuuliza bibi utampa nani akasema "wa chama cha nyerere" nikamuonesha picha ya pombe na edo kabla sijatoa maelezo akajibu nanukuru " mamaaaa huyu anamfanana nyerere" nikamwambia bibi huyu ni mtoto wa nyerere anaitwa lowasa. Ukienda kupiga kura uone mwenye nywele nyeupe akasema ndio. Chezea lowasa wewe na nywele zenye landmark.
 
Hata kwa wasap watukumbuke, maana hata tulioko majumbani umeme ni janga la nchi,,
 
Back
Top Bottom