Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Dar ndio mkoa muhimu kuliko yote katika kuamua mshindi wa nafasi ya urais mwaka huu.
 
Ushindi ni wetu wana CCM hata kwa goli la mkono sisi hakuna nyomi wala nini Mungu ibariki CCM Mungu mbariki rais wetu Magufuli

mnafanya nini kwenye thread za ukawa mbona mnawashwa sana.leo bar hakuna pombe..ccm theto your kithtobe please n get shaved
 
Ukweli ni kwamba pamezubaa sana, pamepooza! Na kuna poor coordination, saa saba hii watu bado sio wengi, niko hapa ngoja niwatumie picha

Inawezekana mimba yako ilipatikana guest house.jitu zima linaropoka kinyesi tu hiyo jangwani ya wapi uliyopo gamba wee!
 
Sasa tatizo Ccm wamekata Umeme nchini mbona wakizinduwa kampeni Zhao wajakata Umeme wanaogopa Ccm@ ila kitaeleweka tu October rest in peace Ccm
 
Sijawahi ona nyomi kama hiili.....

Mkuu salama....!!!!??

Ughaibuni kunasemaje???????????

Kweli Lowasa noma, yani katuweka pamoja leo hii!!!

Wanders never end ....

Siamini jinsi miaka ile tulivyokuwa tukinyukana humu JF wakati ukimtetea Professor Kapuya juu ya ile tuhuma yake.

Ila leo kambi Moja.

Mungu Mkubwa
 
dah muda huu ivyo ikifika saa tisa sjui itakuwaje
 
Back
Top Bottom