Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,977
- 10,075
Maudhui si ni yale yale au mnataka kujaza mauzi jamvini?Uko sahihi hakukuwa na maana yoyote kuunganisha ule uzi ulioanzishwa na StandaloneSAA 6 usiku ambayo ni siku mpya ya tarehe 29-08-2015 wakiunganisha na ule wa maandalizi wa Jana tarehe 28-08-2015
