Habari ya Mujini
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 2,518
- 1,046
Jamanimbona hatuoni mapicha, msiache nikaanza kujuta jana nimenunua power bank ili niweze kufuatilia hii kitu kila hatua.[/m
Mapicha hayo hapo...wazee wa vifusi
Jamanimbona hatuoni mapicha, msiache nikaanza kujuta jana nimenunua power bank ili niweze kufuatilia hii kitu kila hatua.[/m
Mapicha hayo hapo...wazee wa vifusi
Tunataka mabadiliko whether they will bring positive result or not.Ukizidiwa na kiu unaweza hata kunywa mkojo wako mweyewe.They have failed for 50+ yrs.We want changes.....
Kokoto zimeanza kusombewa jangwani..!!
Ngoja mahakama ya mafisadi ijengwe hilo fisadi lenu sijui litaponea wapi magufuli tumaini la watanzania.
Mnalazimisha maji kupanda mlima haita
kaa itokee magufuli kuwa raisi yeye
mwenyewe analijua hilo
Habar wana Jf, Kwa Mara ya kwanza leo Naandika Topic hii nikiwa Mgen humu ndani pia nachukue nafc hii Adhim kuwapongeza wale wote wenye Uchungu wa kweli wa Ukombozi wa Taifa letu, Hakika Mungu atawalipa kwasababu Mungu wetu anataka kweli yenye Mapenz Mema, Pia Mungu Awabarki wale wote ambao wamefungwa na Ibilisi na pia kuwa mawakala wa kutetea Maovu yanayofanyika ktk nchi yetu yenye baraka zote kutoka kwa Allah,Binafc nijickia mwenye Amani nikiwa kama Mmoja wa wasema kweli ndan ya jukwaa au Nje ya Jukwaa na ndiyo mana leo Tunalikomboa Taifa letu Iwe Mvua Iwe Jua Jangwani Hatukosi kuwepo, Pamoja tutashnda
Mbona sioni uzi wa live event za ukawa janngwani?
he look sick...jana ilinishangaza sana alipokuwa mbeya hata ongea yake. Au ni lile tatizo limerudi..kuweni waangalifu msije mkampoteza kwa kutafta sifa...aende check up.ngoja mahakama ya mafisadi ijengwe hilo fisadi lenu sijui litaponea wapi magufuli tumaini la watanzania.
mods wana upendeleo sana huwa wanapenda kuingilia thread za chadema ni upuuuzi kabisa kuna uzi ulianzishwa jana na wanaofahamika humu kama makada wa chadema mida yaa saa 6 akaunganisha na maandalizi .....leo huu uzi hajaunganisha lakni hata mfanyeje update zitapatikana tuuu tv zote zinaonyesha...........
Mwenzako alikimbia kwa uwongo Wa hii picha
Unaongelea kipindi cha 1990,,, wakati ule simu za mobitel zisizo na meseg ndio zilikuwa zinamilikiwa na matajiri tu. Ungo tunaziona ofisi za mabalozi tu. Au unazungumzia kipindi cha sasa uozo wa ccm habari imetapakaa mpaka kona ya nchi.Hata siku moja usiwalinganishe Wakenya na Watanzania. Kuna tofauti kubwa sana. Mimi binafsi nimekaa Kenya na ninawafahamu Wakenya kuliko unavyowajua wewe, vile vile na Watanzania, ninaishi nao na mimi pia ni Mtanzania. Kwa kifupi tu ni kwamba CCM inarudi tena madarakani tena kwa kishindo kikubw mno na hutaweza kuamini. Siasa zetu Tanzania bado ni changa sana.
Mvua iliyo anza kunyesha asubuhi ya leo mkoa wa Dar es salaam imeharibu mkutano wa UKAWA.
Watu Wanazidi Kumiminika Katika Viwanja Vya Jangwani Toka Jana Mafuliko Si Mafuliko, Tsunami Si TSunami Ama Hakika Historia Inaenda Kuandikwa Katika Viwanja Hivi, Hii Haijawai Kutokea Watu Wamefunga Ofic Zao Watu Wametoloka Makazini, Umebaki Wewe Tu, Nawewe Toloka Uje Usipende Kuadisiwa
Ngoja mahakama ya mafisadi ijengwe hilo fisadi lenu sijui litaponea wapi magufuli tumaini la watanzania.