Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Ndege ya jeshi inaruka kufanya maandalizi ya kutoa salute kwa mabadiliko na raisi mtarajiwa hapo Jangwani. Kwa wakazi wa maeneo ya Mbagala wanaiona.
 
Tunataka mabadiliko whether they will bring positive result or not.Ukizidiwa na kiu unaweza hata kunywa mkojo wako mweyewe.They have failed for 50+ yrs.We want changes.....

Nyumbu kazini.....
 
UAMUZI WA KAMA NI BURIDANI TU AU SIO BURUDANI UAMUZI ANAO MWANANCHI MPIGA KIRA...KWA KUTAMBUA TU UKWELI CHAMA KIMEONGOZA MIAKA 53 KIMESHABWETWKA KTK WATENDAJI WAO...MABADILIKO KIUPNGOZI NA SERA ZA CHAMA KWA KUWEKA KATIBA NZURI KUENDESHA NCHI NI LAzima..wananchi tusilale tuamke kumekucha...
 
Hahahaaaaa ujue nimemuona popoma sana huyo mbwiga?
Yaani picha ya miaka 70 anataka kutudanganya ni ya leo?

Vipi dogo jangwani unaenda au?

HaaahaaHaaaa haaahaaa popoma ameshakimbia

Nakwenda , najiandaa hapa
 
Ndugu wadau nio hapa JF nasubiri kinachojiri huko Jangwani sijaona tittle yeyote kuhusu kinachoendelea aliyeko huko angalau tupate kapicha hapa na nini kinajiri. Ama mkuan haukupata kibliccm

Matmbo yanauma.
 
Hakuna kitu weka picha

jamani mlioko sehemu ya tukio mtujuze maana kuna uzi ulikuwepo asubuhi wa updates gafra umepotea. mnajua lumumba walishafanya yao umeme hakuna jf ndo kimbilio tupeni updates makamanda.
 
Makamanda,hamjambo?leo hadi hivi sasa napita huku na kule kwenye mitaa ya jiji la Dar hususan barabara zinazoingia mjini.Kama hii mvua inayotaka kunyesha haitaendelea,huenda leo ikaandikwa historia pale jangwani.Nimekutana na naendelea kukutana na maelfu ya watu wakielekea huko kwa miguu,pikipiki na magari.Kinachonifanya niandike hapa ni aina ya watu wanaoelekea huko.Vijana wake kwa waume ni wengi mno.Hali inaanza kutisha.Naviomba vyombo vya dola kutumia akili zaidi leo kuliko nguvu.Pia nawaomba viongozi na seniors wa UKAWA mlioko humu kudhibiti hali ya mambo hapo jangwani na maeneo ya karibu.Hakikisheni kuna ratiba za kuvutia na muongozo wa MC kwenye Mic tangu asubuhi hii ili kucontain activity za watu hapo jangwani.Wakati unavyotaradadi ndivyo jangwani inavyofurika.Tunaomba amani enyi vijana wetu,na wafuasi wengine wote na wananchi mtakaokuwepo jangwani.Kuweni makini haswa wakati wa kutoka mkutano ukiisha.Jengeni picha nzuri kwa jamii.UKAWA onyesheni kuwa mnaweza kudhibiti mambo ili kuepusha taswira mbaya kwa jamii.Leo tegemeeni idadi msiyoifikiria hapo jangwani maana MALOFA wanasimamisha jiji.Kila la kheri UKAWA na JESHI LA POLISI.
 
Huku igunga umeme ushakatwa tangu saa moja hasubuhi. Nategemea update kutoka hapa.
 
Lazima tukutane jangwani hatakama mvua inyeshe ya mawee
Ccm wameenda kwa mganga wao mvua inyeshe leo lakini wameahindwaaaaaaa
Peopleeeeeees pooower
 
UAMUZI WA KAMA NI BURIDANI TU AU SIO BURUDANI UAMUZI ANAO MWANANCHI MPIGA KIRA...KWA KUTAMBUA TU UKWELI CHAMA KIMEONGOZA MIAKA 53 KIMESHABWETWKA KTK WATENDAJI WAO...MABADILIKO KIUPNGOZI NA SERA ZA CHAMA KWA KUWEKA KATIBA NZURI KUENDESHA NCHI NI LAzima..wananchi tusilale tuamke kumekucha...

naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom