Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Hahahaaaaa ujue nimemuona popoma sana huyo mbwiga?
Yaani picha ya miaka 70 anataka kutudanganya ni ya leo?

Vipi dogo jangwani unaenda au?
Mpaka sasa sijaona hata picha moja ya Jangwani hivi mmekatazwa kupiga picha hapo jangwani? kunani leo huko jangwani. Wapuuzi sana kama Fisadi Mkapa nyie ukawa wa Dar leteni picha
 
thread iliyoanzishwa na chadema wameifuta wamechukua hii ya huyu gamba ...hawa mods banaaa
 
Mpaka sasa sijaona hata picha moja ya Jangwani hivi mmekatazwa kupiga picha hapo jangwani? kunani leo huko jangwani. Wapuuzi sana kama Fisadi Mkapa nyie ukawa wa Dar leteni picha

Mkuu mimi bado niko home.Na hata nikienda siendi na device yangu zaidi ya chupa kubwa la maji basi.
 
Alfajiri sana alianzisha uzi wa live updates mtu wa kuaminika standalone lakini Mods kwa sababu ambazo nimeshindwa kabisa kuzielewa wakaunganisha na uzi wa maandalizi ya jangwani uliowekwa jana.
jebibay

Hilo na mimi limenishangaza, lakini kama wameamua kumerge si wabadilishe title?
 
Last edited by a moderator:
Siamini mpaka sasa hakuna picha yoyote, kuna
nini kinaendelea???!!
 
Leo ni siku muhimu sana ktk historia ya nchi hii hususani ktk uchaguzi mkuu ambapo kwa mara ya kwanza tanzanzania imeandikisha nguvu kubwa ya upinzani baada ya vyama vya siasa vyenye nguvu kuunganisha nguvu kuikabili ccm,tunaomba mtujuze kinachojiri huko kama ilivyokuwa jumamosi ilopita,tunaomba msipepese macho weka vitu live wana jf wengi tunasubilia uzi huu,naeasilishaaaa!
 
Usiku kucha watu wanasafiri kuja Dar kutengeneza mafuriko. Hahahaha kweli watani zetu hawa wamekosa hoja wala Sera Bali wameamua mwaka huu kutuburudisha tu tukisubiri kuapishwa kwa Raisi Dr.John Pombe Magufuri
 

Attachments

  • 1440838668241.jpg
    1440838668241.jpg
    22.9 KB · Views: 659
  • 1440838685351.jpg
    1440838685351.jpg
    19.2 KB · Views: 645
  • 1440838706660.jpg
    1440838706660.jpg
    24.8 KB · Views: 645
  • 1440838725604.jpg
    1440838725604.jpg
    22.8 KB · Views: 625
  • 1440838757512.jpg
    1440838757512.jpg
    25.6 KB · Views: 619
  • 1440838779750.jpg
    1440838779750.jpg
    12 KB · Views: 627
Huyu mleta huu uzi mbona hatutendei haki, mapicha yako wapi sasa?
 
Uwanja tayari umejaa na hautoshi kwani bado watu wanaongezeka
 
Ngoja mahakama ya mafisadi ijengwe hilo fisadi lenu sijui litaponea wapi magufuli tumaini la watanzania.
Mkuu huu alaghai ndo unao wamaliza, be realistic mnayo japo machache ya kuueleza umma ukawaelewa. Ku capitalize kwenye ufisadi wa Lowasa unaibua maswali mengi dhidi ya ccm na selekali kuliko yanayo enda kwa Lowasa.
 
Back
Top Bottom