mzee wa misele
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 366
- 46
john p magufuli, the next president of the united republic of tanzania
pumbavu unatuharibia thread
john p magufuli, the next president of the united republic of tanzania
Bendera fuata upepoMmmmh! Mwanaume gani anakuwa na kiherehere namna hiyo? Lizabon, Simiyuyetu, Faiza Foxy na Jingalao wote hao ni wanawake. Jaribu kuchunguza utagundua kitu Mkuu!
Itawachapa mpaka mkome kulinga
Kelele zitaisha okt 25 magufuli akiapishwa
Mmemuacha MAGUFULI mpweke, halafu mnakuja kutukatia viuno huku?
Kazi ya kusombelea nyumbu jangwani imeenda vizuri
atosha kukanda maandazi (naamini ulimaanisha kusema hivi)Magufuli atosha
Mmmmh! Mwanaume gani anakuwa na kiherehere namna hiyo? Lizabon, Simiyuyetu, Faiza Foxy na Jingalao wote hao ni wanawake. Jaribu kuchunguza utagundua kitu Mkuu!
ila nasikia watakata matangazo ya kingamuz cha startimes ili itv isionekane
Yaani hii si gharika nafikiri ni tsunami
Kelele zitaisha okt 25 magufuli akiapishwa
Sijawahi ona nyomi kama hiili.....
eti tunaanza na mungu na kumaliza na mungu. mungu wenu cdm mnamjua wenyewe,..unafiki mtupuLeo jangwani panamaliza ubishi wote, Jakaya alisema photo shop sasa leo atapelekewa ujumbe rasmi ajiandae kukadhi nchi au aende ICC maana hamna namna CCM watachomoka.
Hii ni 2015 sio 1995 Kaeni tayari.