Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

hapa kazi tu,,, wazalendo wote kura kwa dk j.p.magufuri
 
umeme ukikatwa sikilizeni radio kupitia cm zenu..cloudsfm..eastafricaradio..radio one..na radio nyinginezo...hakuna wa kuzuia mabadiliko...UKAWA habari ya town
 
CCm Hakuna haja ya kupanik kwa UKAWA kujaza watu kwa mikutano yake yote, sio jambo la ajabu kuwa na watu wengi kwenye kampeni hizi, kama nilivyogemea ninyi kuwa mlijaza nyomi na nilijua kbs kuwa mtafanya nini kuwaleta watu jangwani. EL Mnamjua vizuri alivyo na ushawishi. So expect the worst. hahahahah
 
Hii sio computer kweli? maana hapo ni saa sita ikifika saa kumi ni sheeeeedaaaa, Ukawa Oyeeeee, ccm ziiiiiiiiiiii mpaka mtoweke kwenye ramani ya siasa..!!
 
ImageUploadedByJamiiForums1440846716.518659.jpg

Na hii watasema ni fiesta Dar!!
 
Mtashindan lakn hamtashinda, mtahangaika lakn hampati maana ufàlme wa bingu ni kwa watakatifu kama magufuli
 
Tunamwomba JK aje hapa mara moja na camera yake ya kiona mbali apige picha mwenyeweee alafu kesho au mda mfupi atuambie haya mafuriko ni picha za kutengeneza au????
 
Watu wachache sanaaaa,hapo wako walio letwa kutoka uchagani ? pia kuna wana ccm waliokuja kusikiliza porojo,kuna watoto na kuna vibaka wote wanatafuta riziki.

mhhh great mind, good work bother! Its up to you now to decide!
 
Watu wachache sanaaaa,hapo wako walio letwa kutoka uchagani ? pia kuna wana ccm waliokuja kusikiliza porojo,kuna watoto na kuna vibaka wote wanatafuta riziki.

Tupe picha ili uaminike kuwa watu wachache
 
Back
Top Bottom