HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,321
- 103,590
Mafurikooooooooooo
Hivi upoooo?
Mi nimeenda pale saa nne nikaona watu wengi ikabidi nije badili mavazi niende tena sijui kaaa nitafika huko
Mafurikooooooooooo
leo jangwani panamaliza ubishi wote, jakaya alisema photo shop sasa leo atapelekewa ujumbe rasmi ajiandae kukadhi nchi au aende icc maana hamna namna ccm watachomoka.
Hii ni 2015 sio 1995 kaeni tayari.
Mnalazimisha maji kupanda mlima haita kaa itokee lowasa kuwa raisi yeye mwenyewe analijua hilo
hapa kazi tu,,, wazalendo wote kura kwa dk j.p.magufuri
Nini kinakuwasha sasa, hivi wewe lizaboni unalipwa na nani kujifanya hamnazo? Unajidharaulisha sana kamanda. Hata kama wewe uko pale mahala jaribu kufikiri kuwa kuna watu tunakujua fika wewe ni nani ndio maana mwanao mmoja ni nusu mwehu
Huyo jingalao alikuwa mke wangu nikampa talaka kwavile ni mjinga mnoMmmmh! Mwanaume gani anakuwa na kiherehere namna hiyo? Lizabon, Simiyuyetu, Faiza Foxy na Jingalao wote hao ni wanawake. Jaribu kuchunguza utagundua kitu Mkuu!
Nyenyere
Hatuhitaji watu wa kutuzungusha vichwa kama sisiem Leo El yupo. Chadema ongea kuhusu ukurasa huu mpya.nivema ukajenga hoja mpya za akiwa Chadema kuliko kupoteza muda.AU UMETUMWA KUTUKANGANYISHA KI HOJA? ULIPO SIKIA MKUU ANARINDIMA LEO.
Hapa ni update za uzinduzi wa campaign za Chadema/Ukawa hiyo pombe yenu peleka kilabuni
mwaka huu mtatoa na kusema vyote hadi mlivyoweka uvunguni lengo ni kujaribu kujiokoa katika hili jahazi ambalo matumaini ya kuzuia lisizame yamepotea kabisa. UKAWA mbele kwa mbele
Watu wachache sanaaaa,hapo wako walio letwa kutoka uchagani ? pia kuna wana ccm waliokuja kusikiliza porojo,kuna watoto na kuna vibaka wote wanatafuta riziki.
Magufuli atosha