Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

mkuu usisumbuke sana naomba usubiri october watu tunafahamu kwamba hata CCM miaka yote watz walikuwa wanawachagua lakini mmetuibia na kutuacha na umasikini wa kutuwa.
 
Nilidhani ningekasirika sana Tanesco kukata umeme siku ya leo nisione uzinduzi, lakini cha kushangaza nasikiliza kwenye radio na nina Amani tu.
 
Jamani Huyu rais we nu mmmmhhh,hii afya mbona utata,hata pale jukwaani anatia huruma.mmeshamuandaa mbadala Wa marehemu mtarajiwa???.
 
Wakuu Mwafrika na swissme, hata mimi nimeliona hili. Hii inaudhi sana. Nililiona hususani kwenye ile kampeni ya CCM pale Mkapa alipotukana - watu tulikuwa tunanzisha threads exclusively kutoa maoni ya kiuchambuzi kuhusiana na matusi yale, lakini zote zilikuwa zinaondolewa - I never understood that though I didn't complain.

Hawa jamaa wakizidi sana huu uchuro wao, na tukiona vipi, mwishowe tutajitenga tuanzishe "Jamii Forums" yetu wakuu! It's not like it is rocket science at all! It's not even that technical - anyone can do it - basi tu ni kwa vile watu tuna mambo mengi ya kufanya.

Nietzsche.

hii forum siku hizi ni pro-ccm

haya yalianza mwaka 2010. Tulioko hapa kuanzia mwaka 2006 tunalijua hili

I feel sorry for Max na Mike. Wanadhani ccm itaendelea kuongoza milele
 
Back
Top Bottom