Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,195
Molemo , Tumaini Makene vipi mbona Drones Cameras sizioni hapa jangwani?
Last edited by a moderator:
Na kusomba watu kwa wiki nzima lakini bado haijawasaidia
nani kamteua?
huyu ni kada wa ccm
Tunashukuru kwa kusomba watu na kujiridhisha nafsi zenu kwamba mmeshindana na CCM ..chama dume, msisahau kuwarudisha watu makwao
Na kusomba watu kwa wiki nzima lakini bado haijawasaidia
beatricemichael are you serious??Tunataka mabadiliko whether they will bring positive result or not.Ukizidiwa na kiu unaweza hata kunywa mkojo wako mweyewe.They have failed for 50+ yrs.We want changes.....
Kweli kbs mkuu umenena
Wabaguzi sana hawa jamaa..Nyie Chadema mbona mnapenda kutugawa watanzania? Kuna ubaya gani Kada wa CCM kuanzisha uzi wa Ukawa?
kumbe slaa kazira kiukweli......
bado dakika 97 mkutano uishe........
Nyie Chadema mbona mnapenda kutugawa watanzania? Kuna ubaya gani Kada wa CCM kuanzisha uzi wa Ukawa?
Vyombo vya habari mbalimbali viliripoti kuwa Dr Slaa Katibu Mkuu wa CHADEMA ambaye haifahamiki hatma yake na ametawaliwa na SINTOFAHAMU kubwa ndani ya Chama hicho kuwa atahudhuria kwenye mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za UKAWA ulioratibiwa na Edward Lowassa, Mgombea Urais mteule wa UKAWA.
Wala hakuna mbunge wa CCM, ama chama kingine chochote ambae amejiunga na UKAWA na kuachia majimbo waliyosimama ili wabunge wa UKAWA wapite bila kupingwa.
Ndugu zangu watanzania, tumedanganywa tena kudanganywa kuliko kukubwa kabisa..
![]()
Wabaguzi sana hawa jamaa..
Si walisema atakuwepo?