Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Acha Unafiki Mleta Mada
Sasa Unahaha Nini Sikiliza Nini Ukawa Imekuketea
Unadhani Huyo Slaa Pekee Ndiyo Chama
Heee, yamekuwa hayo tena? Si mlisema wenyewe Kipenzi cha wengi, Dr Slaa angekuwepo? Watu wengi tumejitokeza kumiona Slaa na wabunge 30 wa CCM wanaoachia ngazi, mmeniudhi sasa naondoka.
 
Mama lowassa anaongea...atapita maeneo mengi kipindi cha kampeni kuongea na wanawake
 


15:51ally SALUM



3X6A6344.jpg


Mgombea Urais wa UKAWA Edward LOWASSA muda si mrefu atazungumza na wananchi katika uzinduzi wa kampeni za chama hicho,Hizi ni Pichaz za awali katika ufunguzi wa kampeni hizo.






















11949294_885026254915991_3025011310956592878_n.jpg



FB_IMG_1440843099239.jpg



FB_IMG_1440843159145.jpg



FB_IMG_1440843939926.jpg


FB_IMG_1440843198628.jpg


1.jpg




source: The CHOICE







 
makene yuko wapi jamani mkuu hebu tupase sauti aje huku
Tumaini Makene na Molemo wapo na Rais wa mioyo yao. Hivi hamuwezi kung'amua kwamba tangia kutokee sintofahamu kati ya CHADEMA na Dr. Slaa hawa jamaa wawili wamekuwa inactive kuhusu mambo ya CHADEMA? Molemo hadi sasa anaamini kwamba Rais wa moyo wake ni Dr. Slaa basi.
 
Last edited by a moderator:
Wewe ni mfungwa tu kamwe huwezi kuwa huru hadi ufunguliwe

Yah nilikuwa mfungwa ndani ya makamanda ila alipoingia fisadi papa, pole. Chama kinauzwa kinakuwa binafsi na sio cha watanzania. Lowasa mgombea binafsi ndani ya chama chetu. Makamanda wamejenga chama flesh, mwisho wanapokea ulofa na upumbavu.
 
Lumumba haya ndio mafuriko mwambieni mwenyekiti wenu hatutengenezi picha
 
Vyombo vya habari mbalimbali viliripoti kuwa Dr Slaa Katibu Mkuu wa CHADEMA ambaye haifahamiki hatma yake na ametawaliwa na SINTOFAHAMU kubwa ndani ya Chama hicho kuwa atahudhuria kwenye mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za UKAWA ulioratibiwa na Edward Lowassa, Mgombea Urais mteule wa UKAWA.

Wala hakuna mbunge wa CCM, ama chama kingine chochote ambae amejiunga na UKAWA na kuachia majimbo waliyosimama ili wabunge wa UKAWA wapite bila kupingwa.

Ndugu zangu watanzania, tumedanganywa tena kudanganywa kuliko kukubwa kabisa..

2Q==

Naona umevugwa vya kutosha
 
Ilani inazinduliwa kama chadema ila ni ya cuf nccr na nld...wote wametoa michango na mawazo yao
 
Acheni kujidanganya na Hiyo pia ni dhambi , mvua imeletwa kuhahakisha sauti ya fusadi na batili huyo hafikii kwenye masikio ya waungwana. Anazimwa na mola mwenye nguvu zaidi.
 
Back
Top Bottom