Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

mods mbona mnakuwa wa ajabu sana yaani picha tunazowekewa ni zile zenye jukwaa tupu acheme hizo mnaharibu sifa ya jf kwa kuinganishau uzi huu
 
Kuna kablog kanaitwa MUUNGWANA kinarushaga vihabari vya ccm kila dakika lakini leo uzinduzi wa Ukawa hakijatoa hata habari moja. Nimekafutia mbali.
 
Morogoro wamekata umeme ccm wamekwisha tufanya kama watumwa wao tuwakatae ili wasiendelee kutudhalilisha hivi
 
Mnaweka kakupande kale mnakokata ili kudanganya watu, weka hotuba nzima na ile ya yule anayetoa fedha ili aipate ikulu, pia utuwekee pia ya Dr.Slaa ya pale Arumeru kumhusu fisadi papa alivyochanwa live.
 
yaaani bigup mshumbusi hivi huyu mama regina anajua kuwa mumewe mgojwa naye alafu naye anafumbia macho kama wengine leo lowasa akisimam japo nusu saa ntampa kura yangu
 
Kama mgombea wa urais lupitia ukawa atahutubia wananchi kwamudamfupi kwa kutumia visingizio mbalimbali kama lutanguliza waongeaji wengi nk ili watumie muda mwingi nayeye kuonge muda fupi atakuawa amejaliza. Kama ataongeakwa muda wa zaidi dakika 45 basi atakuawa kweli ameanza kampeni vizuri.muda usiwe kisingizio.
 
Nibakuambia hivi watanzania tumeamua. Nia ni kuchukua nchi ianze upya. Na ndiyo maana kuondoka kwa Dr Slaa na Lipumba havijatusumbua kabisa. Polemic magambazzzss
 
attachment.php
 
Magufuli anapita akinadi kuwa anayajuwa matatizo ya watanzani yaani nikama jini bila kuwauliza wananchi tayari kisha jua jini ndio linajifanyaga hivyo linajua kila kitu
 
Wagombea ubunge wa dar wanaitwa mbagala cuf, temeke, cuf, segerea na kigamboni wawiliwawili kuna mambo hayajakamilika..ilala muslim kawe mdee..ubungo kubenea...kibamba nyika
 
Mnaweka kakupande kale mnakokata ili kudanganya watu, weka hotuba nzima na ile ya yule anayetoa fedha ili aipate ikulu, pia utuwekee pia ya Dr.Slaa ya pale Arumeru kumhusu fisadi papa alivyochanwa live.

Tulia dawa ikuingie..
 
Back
Top Bottom