Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

nataka kumjua huyu mshenzi anaeongelea mambo ya simba na yanga,mbona ni upuuzi tu
 
CCM lazima iondoke hata kwa kutumia boko haram au ak shabab; tutawaunga mkono tu ilimradi ccm ikafie mbali tu.
 
Ukichunguza kwa makini huyu mzee Mkapa ni kama ana gundu hivi. Yeye kila kampeni anayoshiriki lazima aanzishe maneno ambayo yanakuja kuki cost chama chake.
Nakumbuka Arumeru Mashariki wakati wa uchaguzi mdogo alitoa kauli ya Utata kuhusu Nyerere na iliki cost chama naye mwenyewe mpaka ikabidi aiombe radhi familia ya Mwalimu.
Juzi Jangwani tena kaita Watanzania wapumbavu na malofa, leo imekuwa kauli inayotumika kuzalisha chuki dhidi ya chama chake na watu wanamjibu kuwa ni kweli wao ni malofa kwa vile yeye na chama chake kila wafanyacho wao walikuwa wanakubali tuu.
Wazee hawaambiwi wana Laana, hivyo mimi siwezi sema. ila nadhani wapo wazee waliomzidi Mkapa umri wakiulizwa wanaweza sema bila kupepesa macho kuwa ANA LAANA.
View attachment 281739
 
Taslima wakili maarufu na mwt cuf anasema miaka 40 aliyoishi dar hajashuhudia umati huu
 
Halafu wanatumika now days,wanaharibu sifa za jamii forum

mods wa hii forum walianza huu upuuzi mwaka 2010

waanzilishi wa forum MIke na Max siku hizi ndo hawajali kabisa. Note kuwa Mike ni swahiba mkubwa wa JK

Usisahau pia kuwa Lemutuz anajigamba kuwa anamiliki percent fulani ya hii forum

go figure
 
Hicho ndio kigezo cha hukumu yako kwenye jina la thread yako? Umejitahidi
 
Wewe kijana unaonekana huna adabu hata kidogo, wewe badala ya kupiga ngumi za uso, mbavu na tumbo unawapiga wenzio chini ya mkanda? Unadhani wataamka kweli?

Unajifanya shujaaaaa kwa kuwapa wenzio maswali magumu ambayo hata hawawezi kuyajibu. Huu mtihani wako unahitaji moderation ili ujibike.
 
Tumaini Makene, tulio wengi tumeshindwa kuangalia tukio hili kwa vile umeme umefanywa fimbo ya kutukomoa. Tafadhali chama kifanye kiwezecho hata kama ni saa tano usiku kipindi kiandaliwe kuonyesha walau kwa saa moja tuu muktasari wa matukio ya leo mkutanoni na kilipiwe kiweze kurushwa na TV kadhaa leo kama chanel 10 walivyofanya jana.
Sidhani kama gharama itakuwa kubwa sana kuliko faida.
 
Last edited by a moderator:
Ukichunguza kwa makini huyu mzee Mkapa ni kama ana gundu hivi. Yeye kila kampeni anayoshiriki lazima aanzishe maneno ambayo yanakuja kuki cost chama chake.
Nakumbuka Arumeru Mashariki wakati wa uchaguzi mdogo alitoa kauli ya Utata kuhusu Nyerere na iliki cost chama naye mwenyewe mpaka ikabidi aiombe radhi familia ya Mwalimu.
Juzi Jangwani tena kaita Watanzania wapumbavu na malofa, leo imekuwa kauli inayotumika kuzalisha chuki dhidi ya chama chake na watu wanamjibu kuwa ni kweli wao ni malofa kwa vile yeye na chama chake kila wafanyacho wao walikuwa wanakubali tuu.
Wazee hawaambiwi wana Laana, hivyo mimi siwezi sema. ila nadhani wapo wazee waliomzidi Mkapa umri wakiulizwa wanaweza sema bila kupepesa macho kuwa ANA LAANA.
View attachment 281739

Mkapa aliua sana watu wakati wa utawala wake

laana zimeanza kumuandama
 
Back
Top Bottom