Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

attachment.php
 
yaaani bigup mshumbusi hivi huyu mama regina anajua kuwa mumewe mgojwa naye alafu naye anafumbia macho kama wengine leo lowasa akisimam japo nusu saa ntampa kura yangu
Mkuu mimi sijaona picha yake hapo jangwani. Hivi Lowassa hapigwi picha siku hizi?
 
Heee, yamekuwa hayo tena? Si mlisema wenyewe Kipenzi cha wengi, Dr Slaa angekuwepo? Watu wengi tumejitokeza kumiona Slaa na wabunge 30 wa CCM wanaoachia ngazi, mmeniudhi sasa naondoka.

Gamba wewe nenda sisi tutabaki ...Chama ni kikubwa kuliko mtu mmoja huyo Dr Slaa ajawahi hata siku moja kukusannya umati huo.
 
Lowassa kuhutubia muda mfupi. Eti kisa muda mfupi. Kwikwiikwiii
 
Back
Top Bottom