Ilani ya masuburi yako
Hivi wakuu wagombea wamekabidhiwa ILANI ya ukawa au ya chadema?
mods wa hii forum walianza huu upuuzi mwaka 2010
waanzilishi wa forum MIke na Max siku hizi ndo hawajali kabisa. Note kuwa Mike ni swahiba mkubwa wa JK
Usisahau pia kuwa Lemutuz anajigamba kuwa anamiliki percent fulani ya hii forum
go figure
Na kusomba watu kwa wiki nzima lakini bado haijawasaidia
Mimi na mumeo ni malofaUtakuwa Lofa tuu wewe!