Habari ya Mujini
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 2,518
- 1,046
kwani JK ni Mkunga...?
naona povu jingi
tulia tu dozi ikiisha utaongezewa nyingine
![]()
kulikoni mkuu?jamani nani kaungana na lowasa leo wengine tunataabika huku wami hakuna njia ya kuja dar
Waendelee kusindikiza tuu!! Washakuwa wateja wa cdm
Kama mgombea wa urais lupitia ukawa atahutubia wananchi kwamudamfupi kwa kutumia visingizio mbalimbali kama lutanguliza waongeaji wengi nk ili watumie muda mwingi nayeye kuonge muda fupi atakuawa amejaliza. Kama ataongeakwa muda wa zaidi dakika 45 basi atakuawa kweli ameanza kampeni vizuri.muda usiwe kisingizio.
Dozi aliyotowa Mkapa imewaingia wapumbavu na malofa, toka siku aliyogawa hiyo dozi sijasikia JF mpaka leo Jangwani neno "ukombozi".
Wamerudi kwa Magufuli na kunadi "mabadiliko" aliyoyanda Magufuli siku ya uzinduzi wa kampeni za CCM.
Kwi kwi kwi teh teh teh
Dozi aliyotowa Mkapa imewaingia wapumbavu na malofa wote, toka siku aliyogawa hiyo dozi sijasikia popote, kuanzia JF mpaka leo Jangwani neno "ukombozi" kutoka kwa malofa.
Wamerudi kwa Magufuli na kunadi "mabadiliko" aliyoyatangaza Magufuli siku ya uzinduzi wa kampeni za CCM.
Kwi kwi kwi teh teh teh
Hii inaitwa jaza nyomi style yani mmewakalisha watu miguu imenyooka mbele ili kujaza uwanja hahaa yani pamoja na kusomba kokoto bado haijasaidia...
Msimamo hewa,sasa msimamo wake umesaidiajeSlaa ana Msimamo sijapata ona dahhh
Kuna maslahi kwako kwa magufuli na ccm eanekunyima mahkama ya kadhi na wamekudhalilishia mashekh wako mpka wamelawitia au umesahau tyr
Fazy jamaa wameshapiga Hela wana ziga tu ,wanajua CCM Ndio mtawala wa nchi hii