Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Ngoja mahakama ya mafisadi ijengwe hilo fisadi lenu sijui litaponea wapi magufuli tumaini la watanzania.

Hiyo injili kawahubirie wanao, sio watanzania wa sasa. MABADILIKO HAYAEPUKIKI.Mlikuwa wapi kuijenga mbona mkuu wa kaya, mkapa, karamagi, Rostam, chenge n.k kipi ni kipi? Au nyie ccm mnawaitaje? Au ndio maisha bora kwa kila Mtanzania?
 
Wakilisha....
 

Attachments

  • 1440856431932.jpg
    1440856431932.jpg
    48.8 KB · Views: 350
Mbowe na ukawa wake wanatumia muda mwingi kumsafisha Lowasi fisadi na kumjibu Mkapa!
 
Wanaacha kutuambia ilani na sera wamebaki wanajadili kauli za Mkapa na Warioba
 
MKAPA NI HATARI SANA!!

VERY STRATEGY LEADER...!!

Mpaka sasa hivi VIONGOZI wote wa UKAWA hawajazungumzia hoja ya msingi wa vipaumbele vyao....

Wako wanajibu maneno ya mkapa, kikwete , na warioba....

Wamechokaaaaa ukawaaaaa!! No point till this time...


Mmepoteana

tulia dozi ikuingie

3X6A6344.jpg
 
Hii inaitwa jaza nyomi style yani mmewakalisha watu miguu imenyooka mbele ili kujaza uwanja hahaa yani pamoja na kusomba kokoto bado haijasaidia...

Sawa mkuu lakini unaweza linganisha hii nyomi na ile ya CCM juzi maana wale pia walikaa kwenye viti
 
Sisi binafsi mtaani kwetu vijana wamechanga buku tatu tatu wamechukua Lori wamepelekwa na watarudishwa.
 
chadema wasanii sana mara wanachama 30 mara slaa atakuwepo. Sasa hvi akina kibo 1 wamefyata

simuoni Dk Slaa wala Lipumba!watu wanataka kusikiliza Sera na Ilani badale yake wanahubiri taarabu kwa KIKWETE!kampeni za kuchafuana bado zinaendelea Ukawa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom