Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Magoya hayo, kuku keshaliwa na wajanja akina mbowe yamebaki Magoya yanapeperuka ovyo tena kila upande.
 
Wewe kijana unaonekana huna adabu hata kidogo, wewe badala ya kupiga ngumi za uso, mbavu na tumbo unawapiga wenzio chini ya mkanda? Unadhani wataamka kweli?

Unajifanya shujaaaaa kwa kuwapa wenzio maswali magumu ambayo hata hawawezi kuyajibu. Huu mtihani wako unahitaji moderation ili ujibike.
Hebu cheki post #39
 
Umeandika nini? ulitaka watu waende jangwani kwa mguu???
 
Hakuna jinsi Watanzania wanataka mabadiliko.

Haijalishi atakae zuia jambo hili.

Hata Shetani akiwa upande wa watanzania wapenda mabadiliko watanzania wapo tayari kushirikiana nao.

Lakini mabadiliko haya ni sahihi?
Nina wasiwasi kwamba watu wanahamu ya mabadiliko lakini hawajui mwisho wao bado hawajui!.
 
Hao wabunge 30 wako wapi?

hayo ya wabunge ilikuwa propaganda ya ccm

magamba yamezoeleka kwa uongo

3X6A6344.jpg
 
Kuna maslahi kwako kwa magufuli na ccm eanekunyima mahkama ya kadhi na wamekudhalilishia mashekh wako mpka wamelawitia au umesahau tyr

..asome na aelewe..!
 
MKAPA NI HATARI SANA!!

VERY STRATEGY LEADER...!!

Mpaka sasa hivi VIONGOZI wote wa UKAWA hawajazungumzia hoja ya msingi wa vipaumbele vyao....

Wako wanajibu maneno ya mkapa, kikwete , na warioba....

Wamechokaaaaa ukawaaaaa!! No point till this time...


Mmepoteana
 
Umaskini kasababisha mzee wa Richmond Mbowe sema ukweli.

Ambaye mpaka sasa rekodi zinaonyesha ni mkuu wa kaya. Ndio maana jamaa alipojiuzulu yeye akasema ni Ajali ya kisiasa tuu imempata.
 
chadema wasanii sana mara wanachama 30 mara slaa atakuwepo. Sasa hvi akina kibo 1 wamefyata
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom