Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

mkuu usisumbuke sana naomba usubiri october watu tunafahamu kwamba hata CCM miaka yote watz walikuwa wanawachagua lakini mmetuibia na kutuacha na umasikini wa kutuwa.
 
Nilidhani ningekasirika sana Tanesco kukata umeme siku ya leo nisione uzinduzi, lakini cha kushangaza nasikiliza kwenye radio na nina Amani tu.
 
Jamani Huyu rais we nu mmmmhhh,hii afya mbona utata,hata pale jukwaani anatia huruma.mmeshamuandaa mbadala Wa marehemu mtarajiwa???.
 

hii forum siku hizi ni pro-ccm

haya yalianza mwaka 2010. Tulioko hapa kuanzia mwaka 2006 tunalijua hili

I feel sorry for Max na Mike. Wanadhani ccm itaendelea kuongoza milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…