Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

simuoni Dk Slaa wala Lipumba!watu wanataka kusikiliza Sera na Ilani badale yake wanahubiri taarabu kwa KIKWETE!kampeni za kuchafuana bado zinaendelea Ukawa

hawa jamaa kwisha kabisa. Aisee!
 
Sawa mkuu lakini unaweza linganisha hii nyomi na ile ya CCM juzi maana wale pia walikaa kwenye viti

Kama wingi wa watu ni kushinda angeshinda mrema 2005 au Dr slaa 2010.tatizo hao unaowaona hapo hawapigi kura na hata wakipiga hawaichagui UKAWA.Tunataka wanadi ilani yao na siyo kutuletea taarabu tu hapa.
 

Kasikilize ya mbeya
 
Duuuh sumaye ni mzandiki na mnafiki sijawahi kuona..leo anamsifia lowasa ambaye alisema akipewa nafasi ya kugombea urais kwa tiketi ya ccm angehama chama..!
 
Reactions: nao
Kikwete alimchaguaje lowassa kama hafai?...sumaye. anasema lowassa ndio kaongoza mabadiliko
 
Watanzania tulikuwa na phobia ya vyama vingine lakini sasa lowasa ameshaondoa hofu hiyo ya jambo usilolijua (phobia) sasa ccm mtashangaaa
 
Hii thread inakimbiza mpaka inaweza kusababisha server za JF zijam
 
UKAWA ndio chaguo letu, na Lowassa ndie jembe letu!!
 

Attachments

  • 1440857112027.jpg
    61.6 KB · Views: 322
  • 1440857133785.jpg
    68.2 KB · Views: 315
  • 1440857147787.jpg
    81 KB · Views: 312
  • 1440857172069.jpg
    52.9 KB · Views: 312
Sumaye anauliza kama lowassa mla rushwa kwanini hajakimbia nchi. Tangu lini waziri mkuu akawa mkubwa wa serikali...anabebeshwa mzigo ilu kumwokoa raisi na serikali yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…