barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
huu mpira wa mademu lakini wanawake hawaonekani kuwapongeza wanawake wenzao
Kesho utasikia Kilimanjaro Queens ni ya Kenya.
Ningekuwa na Mamlaka ningetuma Ndege yetu BrandNew kwenda kuwachukuwa...kwani si ina uwezo wa kutua popote..siyo lazima EBB.
Mpira umeisha Tanzania Mabingwa