Kutoka Kenya: Mchakato wa wenzetu kumng'oa Naibu Rais unaumbua ubovu wa katiba yetu

Acha porojo ,jibu swali makamu ameondolewa na wahuni hawafiki mia tatu wakati huo huo alipigiwa kura zaidi ya milioni saba ,wewe huoni huu ni uwendawazimu aisee
 
Acha porojo ,jibu swali makamu ameondolewa na wahuni hawafiki mia tatu wakati huo huo alipigiwa kura zaidi ya milioni saba ,wewe huoni huu ni uwendawazimu aisee
Hajaondolewa na wahuni kaondolewa na ukiukaji wa maadili.
 
Sio Ubovu wa katiba yetu pekee,hata ubovu wa bunge letu.
 
Mungu ibariki Kenya
 
Kwani nani alikwambia Tanzania na Kwenye tuna katiba moja?
 
Hata hao wanaoitwa 'wapinzani' ni mapandikizi ya CCM, ukijichanganya pamoja nao wanakufanyizia mchana kweupe.

CCM katika uhai wake imejifunza njia nyingi za kufanya propaganda za kisiasa, wanajua sana kumnunua mwanasiasa mwenye umakini na hamu ya kweli ya kuwaondolea ulaji wao.
 
Mzee tupo kwenye serious topic halafu wewe unaleta michambo. 🤣 🤣 🤣 🤣
EEEeeenHEEEEeee!
Kwa mtu kama wewe ni kucheka tu!

Sasa nenda kajinyonge kwa kuwa nakuona kama chizi tu.
 
EEEeeenHEEEEeee!
Kwa mtu kama wewe ni kucheka tu!

Sasa nenda kajinyonge kwa kuwa nakuona kama chizi tu.
Karne hii bado watu wanajinyonga? Unaonekana namna ulivyo outdated
 
Kwa hiyo chuki binafsi ya mtu, na uwezo wa kuwaonga wabunge, imetosha kuwasifu na kuwaona wako juu. Lowassa, elimu!! elimu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…