Kutoka Kenya: Mchakato wa wenzetu kumng'oa Naibu Rais unaumbua ubovu wa katiba yetu

Si angalau huyo rais kahangaika kutafuta njia za kumwondoa kwa kutokwa jasho? Na bado haijulikani huyo rais mwenyewe atakuwa amepoteza kiasi gani kwa sakata hili. Utamlinganisha vipi huyo na mwingine ambaye yeye kwake "katiba ya nchi ni mkusanyiko wa makaratasi tu"!
Acha porojo ,jibu swali makamu ameondolewa na wahuni hawafiki mia tatu wakati huo huo alipigiwa kura zaidi ya milioni saba ,wewe huoni huu ni uwendawazimu aisee
 
Hajaondolewa na wahuni kaondolewa na ukiukaji wa maadili.
 
Kwa kadri nilivyofuatilia Mchakato wa kumng'oa Naibu Rais wa Kenya nimejifunza kwamba tuna kazi kubwa sana ya kufanya ili kupata katiba inayolinda maslahi ya wananchi.

Yaani hapa kwetu ukiwa wewe ni Mbunge Rais hata Diwani ukikosana na mwenyekiti wako wa chama akakufukuza uanachama basi wananchi walioridhishwa na wewe wakakupigia kura kama ulivyo kama mwakilishi wao sahihi, hawana cha kufanya ili kukupata tena wewe kama mwakilishi wao.

Kwa Kenya haipo hivyo katiba inalinda sana uamuzi wa wananchi.
Mungu ibariki Kenya
 
Kwani nani alikwambia Tanzania na Kwenye tuna katiba moja?
 
Kwa hapa Tanzania ni ngumu kwa vyombo vya ulinzi na usalama kukataa chochote kutoka serikalini maana toka wanaingia humo wanapelekwa kichama zaidi screening inafanyika kama unaviashiria vya uhanaharakati hupati kitu ila ukiwa mwana ccm ni faster..

Only possible way ya kuitoa ccm madarakani ni presha kutoka nje ndio itafanikiwa.

Ila nashanga hivi vyama havijajipanga na unaona kabisa hawapo teyar kukabidhiwa madaraka makubwa kama ya utawala nchini.
Kwa sasa ni best na nafuu sana nchi yetu kuwa chini ya ccm.
Mimi pia naunga mkono ccm.
Hata hao wanaoitwa 'wapinzani' ni mapandikizi ya CCM, ukijichanganya pamoja nao wanakufanyizia mchana kweupe.

CCM katika uhai wake imejifunza njia nyingi za kufanya propaganda za kisiasa, wanajua sana kumnunua mwanasiasa mwenye umakini na hamu ya kweli ya kuwaondolea ulaji wao.
 
Mzee tupo kwenye serious topic halafu wewe unaleta michambo. 🤣 🤣 🤣 🤣
EEEeeenHEEEEeee!
Kwa mtu kama wewe ni kucheka tu!

Sasa nenda kajinyonge kwa kuwa nakuona kama chizi tu.
 
Kwa kadri nilivyofuatilia Mchakato wa kumng'oa Naibu Rais wa Kenya nimejifunza kwamba tuna kazi kubwa sana ya kufanya ili kupata katiba inayolinda maslahi ya wananchi.

Yaani hapa kwetu ukiwa wewe ni Mbunge Rais hata Diwani ukikosana na mwenyekiti wako wa chama akakufukuza uanachama basi wananchi walioridhishwa na wewe wakakupigia kura kama ulivyo kama mwakilishi wao sahihi, hawana cha kufanya ili kukupata tena wewe kama mwakilishi wao.

Kwa Kenya haipo hivyo katiba inalinda sana uamuzi wa wananchi.
Kwa hiyo chuki binafsi ya mtu, na uwezo wa kuwaonga wabunge, imetosha kuwasifu na kuwaona wako juu. Lowassa, elimu!! elimu!!
 
Back
Top Bottom