Mkuu hii nchi imejaa watu wajinga aiseeEbu mda mwingine tuwe tunashirikisha akili zetu vizuri alizotujaalia Mwenyezi Mungu,hivi kweli late Mkapa kwa pesa alizokuwa nazo alishidwa kwel kwenda south kwa matibabu kwa vile magu alikataaa yeye kwenda soutg
Yaani Mkapa akose kibali cha kwenda South??Dah kusoma na kuelewa huwa ni vitu viwili tofauti, ni wapi ameongelea habari ya Mkapa kukosa hela ya kujitibu?
Umeambiwa alinyimwa kibali sio pesa,
Kipindi cha Magufuli kutoka nje ya nchi hii ni lazima upate kibali chake.
Na alifanya hivyo makusudi baada ya Mkapa kusema kwenye nchi hii hamna mtu ataongeza muhula mwingine zaidi ya miaka 10 akiwa hai
Aliyasema haya siku anazindua kitabu chake
Kwa roho ya korosho ya jiwe naamini kabisa alimnyima kibali
Mbona mwandishi kajichanganya sana!? Kwa Mo anasema walikuwa wanasubiri jioni mida ya bank kufungwa wanaenda na Mo bank kutoa pesa ila kwa wafanyabiashara wengine walikuwa wanatoa wao wenyewe tu! Sasa kama walikuwa na uwezo wa kutoa pesa bila muhusika kuwepo ilikuwaje kwa Mo wakawa wanalazimika kwenda naye!?Task Force za Jiwe zikiongozwa na kina Kabudi zilikuwa zinatoa fedha kwenye account za wafanyabiashara bila kuwaambia au mawasiliano, unakuta wamesepa na mzigo na ndivyo nchi ilikuwa inaendeshwa ••IN THE NAME of the PRESIDENT: MEMOIRS of a JAILED JOURNALIST
Sema sisi wasukuma...HACHAFUKI HACHAFULIWI !
Tumeshakataa Watanzania wema kuburuzwa na Mafisadi na wabadhirifu wa mali za Umma !
HACHAFUKI HACHAFULIKI 🙏😳
Regasi iko pale pale hata Prof Lumumba wa Kenya anajua hivyo 🙏🙌👍
Kusoma kitabu cha kijinga kama hicho ni kupoteza muda.ni kitabu cha kufikirika zaidi na hakina ukweli.nitashangaa kama serikali itakaa kimya huku viongozi wakichafuliwa.kwa nini kitabu hakikuandikwa wakati mhusika yuko hai?###Kwa wale wavivu wa kusoma vitabu Matukio mbalimbali ndani ya kitabu cha kabendera yatakuwa huku kwenye huu uzi ###
Fedha zilikuwa zinatolewa kwenye account za kampuni, bank manager walikuwa wanapigiwa simu kusubiria bank jioni, kisha Mo anatokea akiwa na watu wa mfumo kutoa fedha. Mo bana kumbe anaficha vitu vya ajabu hivi kwa mujibu wa kitabu,
Mgogoro ulikuwa ni wa kikodi, baada ya kuchallenge Jiwe akamdaka na kushinikiza ile pesa ilipwe, ikalipwa cash akachukua Jiwe cash na haikuingia serikalini, wafanyabiashara wengi wamefanyiwa huu mchezo na ndio fedha baadhi alitumia kwenye uchaguzi huu
Nawakumbusheni msome kitabu
Huwezi ukajua sana, yawezekana kabendera, kunawatu ndio wanamcotrol kuandike hivi yeye taarifa anazipata kupitia wao waliofanyiwa haya mavituko, katka utawala wa magu,?Kabendera amenichekesha sana anaposema kuwa Mo alikuwa anapelekwa bank ili aweke finger print watoe pesa hahahahaha hakika Erick ni mwehu yani watu wenye mamlaka ya kufunga account ya pesa ya mtu na kuchukua pesa wahangaike na wewe kukupeleka bank ili wakatoe pesa hahahaha hakika hichi ni kituko
Sina haja wala shida ya kufanya hivyo. Ila kusema ni uongo siyo kosa la kustahiki kulaumiwa.kama yale yaliyomo kwenye kitabu cha kabendera unaona ni uongo mtupu una haki ya kwenda mahakamani.....kafungue kesi
Wapiga kura gani, kwani kuna uchaguzi ama ukhanithi?Kama wapiga kura wengi ndio wenye akili kama zako, sio ccm tu, hata chama kingine chochote wala hakihitaji mbeleko ya dola kubaki madarakani, labda mbeleko ya nyasi.
Ww hujielewi kwelikweliWaitaje hiyo Bank. Mtu ambaye alikuwa ametekwa wanaruhusuje atoe fedha nyingi tena mida ambayo sio ya kazi.
Bank kuu ikiwezekana iipige faini kubwa hiyo bank na maafisa wake wachukuliwe hatua. Financial sysytem zinahitaji kulindwa kwa gharama kubwa sana.
Hivi baada ya kujua matajiri wote ama wateja wakiamua kuondoa fedha benk unadhani nini kitatokea.
Tuna mifumo ya hovyo sana ya kibenki ndiyo maana kila taasisi inaweza kuingilia taarifa za wateja.
Tangu lini ukweli ukawa ujinga? Wewe umeamua kumfanya Magufuli mungu wako!Watanzania bwana, unakuta mtu mzima kabisa na bahati nzuri ameenda shule ajabu utakuta anapoteza muda wake eti ananunua kitabu cha Yerico Nyerere ama Kabendera na anasoma kabisa na mbaya zaidi anaamini ule ujinga ulioandikwa mule😂.
Ndio maana ccm inaendelea kua madarakani miaka na miaka na hakuna wanachokifanya cha kimaendeleo lakini wanaendelea tu kwa sababu watu wa kuwatoa hawapo maana ccm imekua ikiwadanganya na kuwafukarisha kwa miaka zaidi ya 60 na bado wanaichagua.
Nadhani Tanzania ni nchi yenye binadamu wa aina yake Duniani, special human species.
Watz wanajifanya wajuaji sn kumbe hamna lolote yan anataka akili yake inavyowaza bas iwe hivo yan Bure kabisa wabongoWewe ndiyo kituko
Kulikuwa na ulazima Gani wakati wa Escrow watu kwenda na magunia kuchukuwa pesa Bank wakati wangeweza kupelekewa na magari majumbani kwako??
Acha hizo hujui nyamaza!
Kupinga kwa watu sio ndo kuondoa ukweli, kitabu hiki kipo kama stori uwezekano wa kuwa kweli upo na uongo, mangapi huwa yanasemwa, na watu wanapinga, yanakuja kuwa kweli??Hicho kitabu ni kitamu kama unapenda rumors za corridor of power...
Hizo za Ben Saanane zimepigwa sana huku, hizo za Mo zimepigwa sana huku, mengine kaambiwa na washkaji zake aliowa mention kwenye kitabu..
Tusiamini kila kitu mkuu .. .ask questions.
Njia za mafanikio sio rahisi......###Kwa wale wavivu wa kusoma vitabu Matukio mbalimbali ndani ya kitabu cha kabendera yatakuwa huku kwenye huu uzi ###
Fedha zilikuwa zinatolewa kwenye account za kampuni, bank manager walikuwa wanapigiwa simu kusubiria bank jioni, kisha Mo anatokea akiwa na watu wa mfumo kutoa fedha. Mo bana kumbe anaficha vitu vya ajabu hivi kwa mujibu wa kitabu,
Mgogoro ulikuwa ni wa kikodi, baada ya kuchallenge Jiwe akamdaka na kushinikiza ile pesa ilipwe, ikalipwa cash akachukua Jiwe cash na haikuingia serikalini, wafanyabiashara wengi wamefanyiwa huu mchezo na ndio fedha baadhi alitumia kwenye uchaguzi huu
Nawakumbusheni msome kitabu
Labda walitaka nyaraka na ushahidi vioneshe Mo alitoa mwenyewe pesa. Baadaye asije kufungua kesi kuidai 'sirikali'.Kwamba Fingerprint ya Mo ilikuwa inatakiwa kutoa hizo Pesa ? Yaani watu wenye Power ya kuteka, kufreeze akaunti na kupigia mameneja wakae mpaka jioni kutoa pesa wanashindwa kushinikiza pesa iwe transferred popote wanapotaka au wakati wowote wanaotaka ?
This is insulting our intelligence...
Nyinyi ndo hata uambiwe unatombewa mke wako na jamaa Fulani huamini unasema mpaka ushuhidie unamuamini mkeo sana,..kama anapgwa miti hadharani..Exactly!
Hata mimi wala simtetei Magufuli.
Ila mtu akija na stori zake akiniambia Magufuli alifanya hivi au vile, nikiona simulizi yake haiingii akilini, nitahoji mpaka pale utaponishawishi zaidi.
Sasa hapo mpaka umteke ili atoe pesa ? (Yaani uongeze risks involved) Huwezi kutuma wadau tu na kumtisha asaidie hiki au kile ama sivyo ataona cha mtema kuni au deal zake ambazo hazijakaa sawa utazizima ? Hakuna kitu ambacho Serikali haiwezi kufanya tena mara nyingi kwa kupitia legal loopholes let alone kona kona za kusadikika..., Which makes me wonder huenda hii ni mbinu ya waliopo sasa kuonesha waliopita walikuwa wabaya zaidi ili wao waonekane wana nafuu (ingawa hawa wa leo ndio walewale wa jana)Labda walitaka nyaraka na ushahidi vioneshe No alitoa mwenyewe pesa. Baadaye asije kufungua kesi kuidai 'sirikali'.
Sema bado maswali ni mengi.
Mfano pesa hazikuingia serikalini alizichukua Magu, Mara zilitumika kwenye uchaguzi!